Mihemko ya nini? Hoja hapa ni uwepo wa maslahi sio uharamu au uhalali wa maslahi. Ulinzi gharama, anayemlinda aliingia hiyo gharama sababu kuna maslahi, sasa hapa hujapinga uwepo wa maslahi ila umeyapa uhalali.
Hapa naona unahalalisha maslahi ilihali mimi sijasema maslahi yake ni haramu, nimesema kuna maslahi.
Unazunguka tu. Unakubali maslahi yapo halafu unayahalalisha kuwa ni sahihi kuwepo, kwani hoja yangu ni uhalali wa maslahi au uwepo wa maslahi? Narudia Siasa ni Maslahi, ifahamu nafasi yako unapoingia katika vita vya kisiasa.