Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Sep 25, 2024 #201 Kalamu said: Ni wazi hukuelewa nilicho kua nikikufahamisha au hupendi tu kuelewa. Soma tena kama hukuelewa. Sioni uhusiano wowote wa video hiyo na hayo unayosema wewe na kutaka watu wayaamini kuwa ndio ukweli. Click to expand... Kwa hiyo wewe ni mkweli kuliko ushahidi wa clip ya video. Jamaa mbishi kama Waha wa Kibondo
Kalamu said: Ni wazi hukuelewa nilicho kua nikikufahamisha au hupendi tu kuelewa. Soma tena kama hukuelewa. Sioni uhusiano wowote wa video hiyo na hayo unayosema wewe na kutaka watu wayaamini kuwa ndio ukweli. Click to expand... Kwa hiyo wewe ni mkweli kuliko ushahidi wa clip ya video. Jamaa mbishi kama Waha wa Kibondo
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 12,096 Reaction score 15,393 Sep 25, 2024 #202 Huihui2 said: Kwa hiyo wewe ni mkweli kuliko ushahidi wa clip ya video. Jamaa mbishi kama Waha wa Kibondo Click to expand... Duh! Ukweli upi ulio usema wewe! Mbowe kukamatwa na kuingizwa kwenye hilo gari ndio uwe ukweli unao usema wewe wakati lengo la upotoshaji lipo wazi? Nikikataa upumbavu, useme ni "ubishi"?
Huihui2 said: Kwa hiyo wewe ni mkweli kuliko ushahidi wa clip ya video. Jamaa mbishi kama Waha wa Kibondo Click to expand... Duh! Ukweli upi ulio usema wewe! Mbowe kukamatwa na kuingizwa kwenye hilo gari ndio uwe ukweli unao usema wewe wakati lengo la upotoshaji lipo wazi? Nikikataa upumbavu, useme ni "ubishi"?