Ramani ya Maandamano ya CDM; NI Njia ya mauti au Ulemavu M/kiti Kashawapa

Hata wakati wa mkoloni, babu yako alihamasisha hivi hivi watu wasishiriki harakati za uhuru hadi wahakikishiwe maslahi binafsi.

Naona utamaduni huo.umejikita hadi kwa wajukuu na vitukuu vyakrle.

Shameless
Bosi wasaliti huwa hawakosekani hata enzi za rumi kulikuwa na huyu mwamba aliitwa Segestes
 
Hata wakati wa mkoloni, babu yako alihamasisha hivi hivi watu wasishiriki harakati za uhuru hadi wahakikishiwe maslahi binafsi.

Naona utamaduni huo.umejikita hadi kwa wajukuu na vitukuu vyakrle.

Shameless
Uonaongelea wakati wa mkoloni tulipopata uhuru. Ila sasa hivi unatumika kupigania masilahi ya Freeman Mbowe. Endelea kuwa pimbi
 
Maandamano ni sehemu ya demokrasia Kwa Nchi zinazoongozwa na watu smart tofauti na Tanzania ambapo wajinga na hayawani ndiyo wamepewa madaraka na matokeo yake utekaji umetamalaki
Vijana hamupaswi kupoteza muda wenu kwenye maandamano yasiyokuwa na maana. Wakati nyinyi munaathirika, familia zao zipo nje ya nchi zikiishi kwa utulivu
 
Rais ndiye anayeagiza wapinzani watekwe kwa faida ya kisiasa. Mbona hajawahi kuagiza watoto ama ndugu zake wakae mstari wa mbele kuteka watu?
 
Njoo kwenye maandamano kesho upewe maelezo zilipo hizo 2b.
 
Mkwawa, Chief kimweli, akina Abushiri sultan, Kinjeketile Ngwale nk wangeamua kujali familia yao na kuangalia maslahi yao basi wangekaa mezani na wakoloni na kuiuza Tanganyika.
Utapeli tu. Kuna uhuru gani hapa unaopiganiwa kwa kiwango cha hao manguli unaowataja? Kati ya hao wote kuna ambaye baada ya kushindwa alikimbilia kwenye nchi ya wakoloni kutafuta hifadhi ya kisiasa?

Mfano Kinje alijinyonga baada ya kushindwa ili asikamatwe, hakukimbia nchi wala kujificha, alikufa kama askari wake waliokufa, Sasa wewe unavyoona kuna kiongozi yupo tayari kufa ikitokea maandamano yameshindikana?
 
Kwamba kila kiongozi wa wakati huo aliyeshindwa na wakoloni alijiua ama?
 
Lissu ameshavunjwavunjwa na risasi.
Moja ya tukio baya kwa binadamu japo ni katika vita ya maslahi kama ilivyo kwa Dr Ulimboka. Hoja ni kwamba siasa ni maslahi, swali ni maslahi ya moja kwa moja kwa mwandamanaji aliyevunjika mguu ni yapi?
 
Hawa ni posho ya 50,0000 kwa siku , makamanda wao wanakunja kama 500,000 kwa siku ndo maana wana KIU ya kuwaumiza ndugu zao kisa ni posho.

Kifupi bi TOZO , ushungi mama yetu Nchi IMEMSHINDA tayari
Maslahi. Wameona 50,000 inatosha na wakaingia mzigoni. Sasa watu weshapokea chao unategemea nini?
 
Moja ya tukio baya kwa binadamu japo ni katika vita ya maslahi kama ilivyo kwa Dr Ulimboka. Hoja ni kwamba siasa ni maslahi, swali ni maslahi ya moja kwa moja kwa mwandamanaji aliyevunjika mguu ni yapi?
Wale waliopotelewa na watoto wao, ndugu zao, makada wenzao, jamaa na marifiki zao sio maslahi ya moja kwa moja kwao katika kuandamana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…