Samahani kidogo.. Kwa huo ujenzi wako hapo mchanga lazima kua na mende 1? Huwezi kujenga bila mende kabisa?? Nahofia asije kua jike eakazaliana wakala nyumba yote.Habari wakuu,
nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master)
Sebule,
Jiko,
Na choo Cha public.
Ni ramani simple lakini ya Kisasa.
Ramani hii itachukua
Tofali 1,600
Saruji 30
Nondo 20
Mchanga mende 1
Kokoto gari 1
n.k
n.k
Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10.
Karibu nikujengee nyumba yako, huduma ni ya kitalii ila bei ya Wazawa.
0624254690
Karibuni.
RRONDOView attachment 3512980
Ramani nzuri. Vipi xipimo?Habari wakuu,
nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master)
Sebule,
Jiko,
Na choo Cha public.
Ni ramani simple lakini ya Kisasa.
Ramani hii itachukua
Tofali 1,600
Saruji 30
Nondo 20
Mchanga mende 1
Kokoto gari 1
n.k
n.k
Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10.
Karibu nikujengee nyumba yako, huduma ni ya kitalii ila bei ya Wazawa.
0624254690
Karibuni.
RRONDOView attachment 3512980
Sasa Elimu Yako inahusika vipi kwenye Uzi wangu mkuu?Watu wamejipinda wamesoma civil and QS 4years ,Architecture 5 years wewe unakuja kuleta utapeli kwenye taaluma za watu.
Vipimo.Sasa Elimu Yako inahusika vipi kwenye Uzi wangu mkuu?
Hasira zako za kusoma miaka 10 unazileta kwangu?
Inatakiwa ulete hoja za kueleweka kupinga hesabu zangu nilizoleta hapa, Ili watu wapime na waone usomi wako.
Tofauti na hapo Elimu Yako ya Miaka 20 haijakusaidia.
Gharama walizotumia wazazi kukusomesha afadhali wangenunua hata mapipa wahifadhie maji yawasaidie kwenye kipindi kama hiki maji yanaposumbua
Unataka vipimo wewe kama nani?Nilijua umeshare ramani kumbe foolish.
Ramani gani haina vipimo? Ramani gani haijakamilika?
VIpimo vipo mkuu, bila shaka utakuwa unaelewa watu wanauza ramani za nyumba.Ramani nzuri. Vipi xipimo?
Mende ni Gari ya Mchanga bei yake inarange 280,000 kulingana na eneo husika mkuuSamahani kidogo.. Kwa huo ujenzi wako hapo mchanga lazima kua na mende 1? Huwezi kujenga bila mende kabisa?? Nahofia asije kua jike eakazaliana wakala nyumba yote.
Asante mkuu, watu wanataka ramani na vipimo vyake, atakaye ielewa anakuja tunafanya kazi, Nampa vipimo.Kazi nzuri mkuu
Eneno la 8x7 m au 9x7m naweza kutoa kitu gani amazing?Nimeshare ramani tu, ukiipenda nicheki nakupa vipimo vyake tufanye kazi.
Kama una idea ya nyumba Yako unayotaka kujenga niletee nikuchoree ramani yake pia
Roughly,Habari wakuu,
nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master)
Sebule,
Jiko,
Na choo Cha public.
Ni ramani simple lakini ya Kisasa.
Ramani hii itachukua
Tofali 1,600
Saruji 30
Nondo 20
Mchanga mende 1
Kokoto gari 1
n.k
n.k
Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10.
Karibu nikujengee nyumba yako, huduma ni ya kitalii ila bei ya Wazawa.
0624254690
Karibuni.
RRONDOView attachment 3513008