macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Usilumbane nao. Wanakupotezea muda bure. Wenye akili wanajua ramani siku zote zinalipiwa.Akili Yako kumbe ndogo mkuu, kwahiyo kumbe unajua hiyo picha nimechukua Pinterest?
Kuna wadau kadhaa wameomba mchoro wa ramani Kwa maelezo Yao, nitachora na nilete hapa, useme pia nimetoa wapi.