babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Kanyumba studio tu kwa ajili ya shamba boy relax,Cha kisasa hapo ni nini kwa mfano ?
hamna family itaishi humo
Kanyumba studio tu kwa ajili ya shamba boy relax,Cha kisasa hapo ni nini kwa mfano ?
na za kizamani zilikuwa hazina nini ndani, choo ??Nyumba ndogo yenye vitu vyote muhimu (kulinganisha na udogo wake)
Kwa hiyo ni tafsiri yako wewe kwamba ni nyumba ya kisasa. Sio kitu kinachojulikana concretely na unachoweza kukisema confidently kwamba zamani kilikuwa hakipo lakini mimi ninacho kwenye michoro yangu mipya ya kisasa!Mkuu, Usasa una tafsiri tofauti kulingana na matumizi au mapenzi ya mtu.
Kwa matumizi na mazingira ya eneo dogo niliyolenga, hii ramani inatimiza hayo
Ila we jamaa 🤣 🤣Kwa hiyo ni tafsiri yako wewe kwamba ni nyumba ya kisasa. Sio kitu kinachojulikana concretely na unachoweza kukisema confidently kwamba zamani kilikuwa hakipo lakini mimi ninacho kwenye michoro yangu mipya ya kisasa!
Nilidhani una uhakika.
Mkuu, vp naona hukunirejea.Sawa mkuu nikitulia nitarekebisha
Samahani mkuu, mbona kama nilishaleta hapa?Mkuu, vp naona hukunirejea.
Nimeipenda h ramani kama ilivyo bila kubadili chochote ila nataka uongeze chumba kimoja cha kawaida
View attachment 3526360
Hapana hukuileta.Samahani mkuu, mbona kama nilishaleta hapa?
Basi nitaipitia hiyo ramani niongeze Chumba Kimoja halafu nitakuletea hapa.
Habari mkuu.Mkuu, vp naona hukunirejea.
Nimeipenda h ramani kama ilivyo bila kubadili chochote ila nataka uongeze chumba kimoja cha kawaida
View attachment 3526360
Dah imebadilika knoma 😂Habari mkuu.
Bila shaka mwanzo nilikwambia ramani hiyo ilikuwa simple tu isiyo na mambo mengi, kuongezea Chumba Kimoja tu tayari kunifanya nyumba hiyo iwe kubwa, ramani haiwezi kubaki kama awali.
Nimejitahidi Sana kuongeza hicho Chumba Kimoja bila kupoteza mwonekano wa ramani ya mwanzo.
Kwakweli imekuwa ngumu kidogo.
Kichwa kimewaka Sana moto, Kila ninapoweka Chumba vipimo vinakataa, au mchoro mzima unalazimisha tubadilike.
Ili usione nimekaa kimya kwamba nimedharau, nimebitimisha Kwa Ramani hii hapa.
Kuongeza vitu zaidi (labda stoo, dining room n.k) basi tunatoka kwenye ramani ya mwanzo uliyochagua
Nimehitimisha Kwa
Kukuletea ramanj hii hapa
View attachment 3526834
Siwezi Pata nyumba za kienyeji hizi za kisasa tuwaachie wenyewe picha zakeHabari wakuu,
nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master)
Sebule,
Jiko,
Na choo Cha public.
Ni ramani simple lakini ya Kisasa.
Ramani hii itachukua
Tofali 1,600
Saruji 30
Nondo 20
Mchanga mende 1
Kokoto gari 1
n.k
n.k
Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10.
Karibu nikujengee nyumba yako, huduma ni ya kitalii ila bei ya Wazawa.
0624254690
Karibuni.
RRONDOView attachment 3513008
Ntake radhi walalhi shemejio kajoin leoo humuP didy na nyumba wapi na wapi mkuu wewe Yako mafuta tu basi 🤣🤣🤣