Ramani ya Nyumba ya Kisasa: Vyumba 2, Jiko, Sebule na Choo cha Public pamoja na gharama

Ramani ya Nyumba ya Kisasa: Vyumba 2, Jiko, Sebule na Choo cha Public pamoja na gharama

Kutoa kitu itatategema mapenzi Yako mkuu unataka Nini.
Ila hapo unaweza kupata Chumba na choo chake, sebule Fulani ndogo
Na eneo litabaki Kwa ajili ya watoto kucheza.
Vyumba 2 kimoja master na sebule.
Sio lazima vyumba kuwa vikubwa sana.
Mchoro unakuwaje?
 
Vyumba 2 kimoja master na sebule.
Sio lazima vyumba kuwa vikubwa sana.
Mchoro unakuwaje?
Vyumba viwili na sebule mkuu si vitakuwa vidogo kimtindo 🤣
 
Vyumba 2 kimoja master na sebule.
Sio lazima vyumba kuwa vikubwa sana.
Mchoro unakuwaje?
Nikitulia nitachora ramani nitaleta hapa! Vipimo tutawasiliana ukiipenda
 
Asante mkuu, watu wanataka ramani na vipimo vyake, atakaye ielewa anakuja tunafanya kazi, Nampa vipimo.
Otherwise unaweka hapa Ramani na vipimo vyake, mtu anachukua anaenda kuuzia wengine, wakati hapa ameichukua for free.
Noma
 
Unataka vipimo wewe kama nani?
Nimeshare ramani, atakayeipenda anakuja nampa vipimo tunafanya kazi.
Au haujui Ramani zinalipiwa?

Unaweka ramani na vipimo, mtu anachukua ramani anaenda kufanya kazi au anaenda kuuzia watu wakati ameichukua hapa Bure.

Au unajua kuchora ramani ni simple kama kuwa chawa na kupata ulaji?
Ponjoro wa Kinondoni wataka vya bure Sheikh
Hili sio jukwaa la matangazo ya biashara, kaipost kwenye jukwaa la matangazo ya biashara acha ubabaishaji.
 
Habari wakuu,
nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master)
Sebule,
Jiko,
Na choo Cha public.
Ni ramani simple lakini ya Kisasa.

Ramani hii itachukua
Tofali 1,600
Saruji 30
Nondo 20
Mchanga mende 1
Kokoto gari 1
n.k
n.k

Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10.

Karibu nikujengee nyumba yako, huduma ni ya kitalii ila bei ya Wazawa.

0624254690
Karibuni.

RRONDOView attachment 3513008
Ramani nzurii
 
Kuna plan kwa kajumba kadogo ka kufikia shamba, kistudio flani tu choo bafu kisiwe ndani,
pembeni patafaa au kuwe na mlango separate kwenda huko.
Nipe ramani
 
Kuna plan kwa kajumba kadogo ka kufikia shamba, kistudio flani tu choo bafu kisiwe ndani,
pembeni patafaa au kuwe na mlango separate kwenda huko.
Nipe ramani
Fafanua zaidi mkuu.
Hako kajumba kanakuwa ka Chumba Kimoja au? Sebule? ?
?
Hebu weka maelezo vizuri
 
wewe umesema unaweka ramani sio hilo limchoro ulilo download pinterest.
Akili Yako kumbe ndogo mkuu, kwahiyo kumbe unajua hiyo picha nimechukua Pinterest?
Kuna wadau kadhaa wameomba mchoro wa ramani Kwa maelezo Yao, nitachora na nilete hapa, useme pia nimetoa wapi.
 
Ponjoro wa Kinondoni au unakazwa? 🤣🤣 Eti picha nimetoa Pinterest.
Ramani nachora mwenyewe, naleta Copy ya ramani, vipimo nabaki navyo ndiyo thamani lipo.
Baadhi ya ramani nilizochora nau ukitaka vipimo vyake njoo mezani
New project (3).jpeg
New project (11).jpeg
New project (4).png
New project (3).jpeg
 
Wow!!!!! Gari bei yake ni 280k????? Ni kampuni gani wanazalisha hiyo gari. Bei ndogo kuliko Infinix au ZTE!!!! Kichwa kinauma hapa.
Kampuni yake Iko Kizimkazi mkuu
 
Chumba tu au hata na sebule,kulala pale maybe siku 1 shamba boy anakaa kila siku patie Estimate.
Maana yake, Chumba, Sebule, choo Cha nje na jiko tu. Sahihi?
 
Vipimo ndiyo kazi yenyewe mkuu.
Nimetolea ufafanuzi bila shaka.
Ukiielewa ramani unakuja nakupa vipimo tunafanya kazi.
Nakuunga mkono kwa hali zote. Huu ni ujuzi unaotakiwa malipo. Ni kama kwenda hospital, unalipia vipimo.
 
Back
Top Bottom