TANZIA Rambirambi za mwanachama mwenzetu Warumi

Status
Not open for further replies.
Suala ni la hiari na ukiona huwezi tafadhali kaa kimya usitoe maneno ya dhiaka wala kuwakwaza wenzio. Warumi amepumzika na atazikwa tu bila hata hiyo hela yako unayoona ni ya maana katika kipindi hiki kigumu. Wewe mwenyewe hujui kesho yako. Tuliotayari tunachanga.
 
Jamani wewe hata kuniambia mm nilikuwa sijui jamani mweee!!! [emoji24] RIP Warumi
 
Lililo kubwa warumi kalala hana maumivu wala kuteseka tena... Kuna siku nasi tutakuwa kama yeye.. Kwa njia gani? Hiyo ni fumbo la kifo..
Haya mengine yooote ni ya sisi ambao bado tunahema na hatuko kwenye shuka nyeupe tukisubiri majibu ya tabibu...!!!

Pumzika binamu! Kuishi ni Kristo, kufa ni faida...ndio maana baadhi ya tamaduni hufanya karamu....

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Unabusara sana dada
 
MNH kila siku pale kuna misiba..tutajua yupi ni yupi?wanaojuana wachangishane..
 
Umeongea kwa busara kubwa sana..huu ndiyo ukweli!!
 
Bado Dakika kadhaa kabla ya deadline michango. Wajinga ndio waliwao.

Hakuna deadline ya mchango/rambirambi
Atakaejisikia anaweza kuchangia familia itakaposafiri kwenda Mbeya

Naona hili jambo linakukereketa sana, na kama halikugusi sielewi unasubiri nini hapa mpaka muda huu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…