TANZIA Rambirambi za mwanachama mwenzetu Warumi

Status
Not open for further replies.
Pole sana ndugu yangu amu ... kazi uliyofanya ni njema sana na lawama na matusi ndio huwa ni malipo yake na umefanya vyema sana kutoweka namba ya familia ingekuwa aibu sana kwa comments kama hizi.

Binafsi namfahamu amu najua fika awezi kula hela ya rambi rambi... sema wana jf wengi huwa wanaona kila mtu ni tapeli maana wamezoea kutapeliwa humu kwa hiyo huwa hawajui kama kuna watu humu awawezi kutapeli....

Wengi humu hawatoi michango wanachotoa ni matusi na angalizo tuu kwa hiyo walalamikaji wengi huwa sio watoaji......
 
Well said japo watasema ni ID nyingine ya Amu
 
ngoja waje watakuambia wewe afisa mipango wangu.
 
Well said japo watasema ni ID nyingine ya Amu
ukitaka ukate tamaa kuingia humu basi hayo maneno ya wana jf humu yakupane kwenye akili yako.... mimi humu nina miaka mingi hivyo wana jf hizi ndio tabia zao kuwalaumu watu na kuwatukana hata kama hawana uhakika..... Mimi nimeshiriki mikusanyiko yote ya wana jf hapo nyuma kwa hiyo kuna watu naweza nikawatetea maana hata mchana kweupe nawafahamu kwa sura......
Jf inaweza ikakufanya ukachanganyikiwa ukizingatia sana hizi comments
 
Tumemaliza sehemu yetu
Hakuna sehemu isiyo kuwa na maneno

Tuwaombee kwa ajili ya safari.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom