TANZIA Rambirambi za mwanachama mwenzetu Warumi

TANZIA Rambirambi za mwanachama mwenzetu Warumi

Status
Not open for further replies.
Mmmh Binaadamu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]. Tuwe na akiba ya maneno
Acha kabisa binamu
Mimi dini yangu inaniambia maiti haisemangwi wala kuongelewa maovu yake, ila humu daahh!nashangaa hawa wanaabudu wapi!

Yarrabil tupe staha na kinywa changu wanadamu maana nasi tutakufa pia!
 
Natamani nichambe watu humu ila nitakula ban.

Itoshe kusema kama una vijihela vyako vya mawazo basi tulia,usitake kusumbua watu humu.
Hakuna aliyelazimishwa kutoa....

Kuna wapumbavu wanabwabwaja huko juu,hata Cha kutapeliwa hamna kazi kuwasumbua hawa wadada [emoji57]
Hovyoooo nyie.


Picha picha,mmeambiwa mkaage na mmeambiwa sehemu msiba ulipo ila mmekaza ubongo kazi kuwaza kutapeliwa,mtatapeliwa Nini?
Acheni upumbavu.

Kuna wajinga wengine bado hawajijui kama Ni wajinga,hata nyuzi za marehemu hamjasoma vizuri,kazi yenu kuunganisha dots kijinga na kuja na conclusion uchwara eti ooh tutatapeliwa,,hivi Nani awatapeli nyie?
Vingine vitoto vya chuo na buku zenu za kutosha kula ujasi ila hapa mpo kujiropokesha...
Hivi amu na Hornet waache kazi zao waje kuwatapeli watu hopeless nyie?

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh Dada Leo kweli umechafukwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Habari za asubuhi,

Nadhani kutoa rambi rambi ni hiyari ya mtu, na hakuna aliela zimishwa kuchangia kwa ajili ya msiba,
Naona watu wana mu attack amu kuwa anataka kutapeli hiyo siyo kweli jamani. Mimi jana nilikua msibani kwa warumi na leo pia nitakuwepo hili swala hakuna utapeli hata kidogo na kama kuna mtu atahisi kuwa ametapeliwa kwa namna yoyote naomba hata mimi niwe responsible on that.

Hili jambo ni ukweli na tunajaribu ku support familia kwa namna tunayoweza, lakini its really sad the response unapata kwa watu. Watu tutaogopa kueleza matatizo yetu hapa aisee kwa namna hii.
Poleni buddy!
 
Binafsi mambo ya kuchangishana pesa mitandaoni kwa watu tusiojuana kiundani siyakubali, nyie mnaojuana personally ni vyema mjichangishe na kwa sisi tusiojuana haina umuhimu kwa sababu kesho zitakuja tuhuma za utapeli humu.

Wengine humu hata tukifa taarifa zetu hamtapata.
Tusike walikofika kwa akina Steve Nyerere ambao ndio wachangishaji wakuu wa wacheza vidali po na kila siku lawama za kufa kufaana.
 
Jamii forum ni jamii kama jamii zingine na kila penye jamii ya watu pana watu wa kila hulka na utashi tofauti........

Unachopaswa kufanya ni kuilinda dhamira yako isichafuliwe na waovu.......

Kadri unavyolazimisha kuaminika na mwenye nia ovu ndivyo unavyopoteza uaminifu kwa watu wema........

Simama na dhamira yako njema na Mungu atakulipa........

Mungu amlaze mahala pema mpwa wangu warumi.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom