Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kama msiba haupo wangeletaje uzi humu?Watu walikua wanataka prove na sio maneno mengi utazani wote tunaishi dar kwamba twende tuka one kama msiba upo kweli ....
Aya si Yalisha isha au ndo unaweka bando nini?Natamani nichambe watu humu ila nitakula ban.
Itoshe kusema kama una vijihela vyako vya mawazo basi tulia,usitake kusumbua watu humu.
Hakuna aliyelazimishwa kutoa....
Kuna wapumbavu wanabwabwaja huko juu,hata Cha kutapeliwa hamna kazi kuwasumbua hawa wadada [emoji57]
Hovyoooo nyie.
Picha picha,mmeambiwa mkaage na mmeambiwa sehemu msiba ulipo ila mmekaza ubongo kazi kuwaza kutapeliwa,mtatapeliwa Nini?
Acheni upumbavu.
Kuna wajinga wengine bado hawajijui kama Ni wajinga,hata nyuzi za marehemu hamjasoma vizuri,kazi yenu kuunganisha dots kijinga na kuja na conclusion uchwara eti ooh tutatapeliwa,,hivi Nani awatapeli nyie?
Vingine vitoto vya chuo na buku zenu za kutosha kula ujasi ila hapa mpo kujiropokesha...
Hivi amu na Hornet waache kazi zao waje kuwatapeli watu hopeless nyie?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi zimetembea ban kinyama!
Aise poleniWarumi
Nguli wa umbeya jukwaa la celebrities
Natamani nichambe watu humu ila nitakula ban.
Itoshe kusema kama una vijihela vyako vya mawazo basi tulia,usitake kusumbua watu humu.
Hakuna aliyelazimishwa kutoa....
Kuna wapumbavu wanabwabwaja huko juu,hata Cha kutapeliwa hamna kazi kuwasumbua hawa wadada [emoji57]
Hovyoooo nyie.
Picha picha,mmeambiwa mkaage na mmeambiwa sehemu msiba ulipo ila mmekaza ubongo kazi kuwaza kutapeliwa,mtatapeliwa Nini?
Acheni upumbavu.
Kuna wajinga wengine bado hawajijui kama Ni wajinga,hata nyuzi za marehemu hamjasoma vizuri,kazi yenu kuunganisha dots kijinga na kuja na conclusion uchwara eti ooh tutatapeliwa,,hivi Nani awatapeli nyie?
Vingine vitoto vya chuo na buku zenu za kutosha kula ujasi ila hapa mpo kujiropokesha...
Hivi amu na Hornet waache kazi zao waje kuwatapeli watu hopeless nyie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dogo hapo hela yenyewe ya boom ya chakula Cha buku ila kapo kupiga kelele ooh tutapigwa,,Just ignore them
Keyboard warriors
They fake and they want everyone else to fake
They preach nonsense and they want everyone to be like them
Don’t join them baby girl[emoji8]
Bando ninalo siku zote na nyuzi zote za Warumi kuhusu yeye nilizisoma.Aya si Yalisha isha au ndo unaweka bando nini?
Mimi binafsi nakuamini na Mungu atakulipa sisi hatuwezi, na nina imani warumi amefurahi sana huko aliko Asante sana.Mimi nimeshamaliza.
Nitawapa updates watu wa mbeya.
Halafu wanaotukana na kuchamba bado hawajanikeraaaa yaani sijakereka kabisaaaaa.
Bando ninalo siku zote na nyuzi zote za Warumi kuhusu yeye nilizisoma.
Shida ni nyie mnaoleta doubt za kijinga kwenye vitu siriazi..labda tuwaulize,kipindi warumi anaelezea kuhusu maswali mnayouliza Sasa pengine hamkuwa na bando..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru nimeshiriki msiba wa binamu, poleni Hornet na amu kwa kutokuaminiwa, sisi tuliowaamini tumeshiriki kadri Mungu alivyotuwezesha. Nashukuru pia binamu anapelekwa nyumbani na coster ya kwaya yangu ninayoiimbia.....Mungu awatqngulie wafike salama[emoji120]View attachment 1911223
Safari ya Mbeya imeanza
Walioko Mbeya Tutawapa UPDATES
tushiriki kumpumzisha mwenzetu
MUNGU azidi kuibariki kwaya yenu [emoji120]Nashukuru nimeshiriki msiba wa binamu, poleni Hornet na amu kwa kutokuaminiwa, sisi tuliowaamini tumeshiriki kadri Mungu alivyotuwezesha. Nashukuru pia binamu anapelekwa nyumbani na coster ya kwaya yangu ninayoiimbia.....Mungu awatqngulie wafike salama[emoji120]