Hujafa hujaumbika!
Michango ni hiari, kama unaona haiwezekani au sio sawa unaliacha tu unapita kwa amani, kimya, kuongea kwa kejeli na tuhuma za uongo sio vizuri kua makini usije jichumia laana bure, na kama ni sawa basi utoe kwa moyo na uwe na amani bila kujali hio rambirambi itaenda kufanya nini au kazi gani, lakini Mungu anaona na kua na imani kua atakubariki kwa ulichofanya, yaweza kua baraka kutoka kwa Mungu au Familia.
NB: Hali ya umaskini ni mbaya sana nchini, inapelekea hata kuharibu saikolojia ya mtu kudhani kila kilicho mbele yake ni utapeli. My friend kama umefikia stage hio, sahau.kufanikiwa maishani mwako. Utaendelea kumbwelambwela hivyo hivyo hadi mwisho wako.
R.I.P WARUMI.