Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Inasikitisha sana watu wanakosa utu kiasi hichi. Sioni sababu ya kuwashutumu wanaojitolea kuchanga, ili mwenzetu akazikwe.
Kumbukeni kila mtu ni marehemu mtarajiwa.
So huko kushutumiana ni mbali mno, unakuta mtu anaogopa eti rambi rambi yake ya 10,000 anasahau tangu mwaka uanze serikali imeshamuibia mara mia ya hiyo hela na hakuna anachofaidika.
lets be humble guys.. tusionane wezi.. hatujafika hiyo stage, ni mbali sana