amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Wanabodi, msiba ni kuzika.
Ninawaomba tukamzike mwenzetu, tukamzika vipi?kwa kushiriki ibada ya kumuaga pale kanisani Muhimbili saa 8 mchana.
Je, tutaenda kuaga hivi hivi mikono mitupu hapana ninaomba tujichange chochote kabla ya saa 8 mchana tukabidhi kwa familia.
Ninaomba rambirambi zote zitumwe kwa Hornet no ya kutuma rambirambi 0755_155782 Jacklin Tumaini au Jacklin Palangyo.
Mtandao ni Vodacom tujitahidi kabla ya saa nane mchana.
Ninaomba ukituma update hapa.
Tafadhali ninawaomba sana tuishike familia hii.
Binamu warumi ni wetu wote hapa celebrities.
UPDATE.
Kama utaweza kufika muhimbili saa 8 unaweza kunipm pia na kama itakupendeza rambi ramvi unaweza kutoa cash pale pale.
UPDATE.
Cash zilizokusanywa mpaka huu saa 6 na nusu ni 180,000.
Kwenye simu zimefika 32,000..
Update.
Humu jf zimekusanywa sh 345,000.
235,000 tulikabidhi msibani.
110,000 tumewarushia familia kwa njia ya simu.
Ahsanteni wote na ahsante uongozi wa jf kwa kushiriki nasi kwenye rambirambi hizi.
Zaidi, soma:
www.jamiiforums.com

TANZIA - Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo. Taarifa hii nimepewa na dada yake muda huu, msiba upo Tegeta . Msiba utasafirishwa kwenda Mbeya...