TANZIA Rambirambi za mwanachama mwenzetu Warumi

TANZIA Rambirambi za mwanachama mwenzetu Warumi

Status
Not open for further replies.

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,132
Reaction score
31,149
Wanabodi, msiba ni kuzika.
Ninawaomba tukamzike mwenzetu, tukamzika vipi?kwa kushiriki ibada ya kumuaga pale kanisani Muhimbili saa 8 mchana.

Je, tutaenda kuaga hivi hivi mikono mitupu hapana ninaomba tujichange chochote kabla ya saa 8 mchana tukabidhi kwa familia.

Ninaomba rambirambi zote zitumwe kwa Hornet no ya kutuma rambirambi 0755_155782 Jacklin Tumaini au Jacklin Palangyo.

Mtandao ni Vodacom tujitahidi kabla ya saa nane mchana.

Ninaomba ukituma update hapa.

Tafadhali ninawaomba sana tuishike familia hii.

Binamu warumi ni wetu wote hapa celebrities.

UPDATE.
Kama utaweza kufika muhimbili saa 8 unaweza kunipm pia na kama itakupendeza rambi ramvi unaweza kutoa cash pale pale.


UPDATE.

Cash zilizokusanywa mpaka huu saa 6 na nusu ni 180,000.


Kwenye simu zimefika 32,000..

Update.
Humu jf zimekusanywa sh 345,000.

235,000 tulikabidhi msibani.
110,000 tumewarushia familia kwa njia ya simu.

Ahsanteni wote na ahsante uongozi wa jf kwa kushiriki nasi kwenye rambirambi hizi.

Zaidi, soma:

 
Kabisa ushirikiano muhimu, ningepata member wa jf aliepo Mbeya kwa siku mbili tatu hizi ningeshiriki pia mazishi maana naondoka wiki ijayo huku
 
Binafsi mambo ya kuchangishana pesa mitandaoni kwa watu tusiojuana kiundani siyakubali, nyie mnaojuana personally ni vyema mjichangishe na kwa sisi tusiojuana haina umuhimu kwa sababu kesho zitakuja tuhuma za utapeli humu.

Wengine humu hata tukifa taarifa zetu hamtapata.
 
Ni jambo zuri niko kwa upande wangu nipo muhimbili muda huu na baadhi ya ndugu na jamaa sababu marehemu nilikuwa namjua jf na nje ya jf,nashkuru nmekutana na baadhi ya member pia wa jf mchango ni muhimu kwa aliyejaliwa sababu mimi nikichanga buku siyo kitu lakini hizo buku zikiwa mia moja zinaweza kusaidia kitu kama chakula,maji,usafiri na mengineyo kwa waliopo muhimbili tujuane
 
Llio 002, Mzee mbona povu kuna sehemu nimeandika namba yangu unitumie hela? rejea nilichoandika, nimesema kama binadam na mwana JF kwa kile nilichoona watu tupo msibani tunasubiria taratibu zikamilike mwili uje ibada ifanyike, sasa sijui picha unayotaka wewe ni ipi nimpige maiti? au unajua kuna misiba mingapi leo Muhimbili?.

Mchango ni hiari ila nimequote baada ya wengi kutokuamini kilichotokea kuwa mwenzetu hatupo nae, ni kweli jamaa amefariki na watu tupo muhimbili muda huu walau kutoa pole.
 
Ni jambo zuri niko kwa upande wangu nipo muhimbili muda huu na baadhi ya ndugu na jamaa sababu marehemu nilikuwa namjua jf na nje ya jf,nashkuru nmekutana na baadhi ya member pia wa jf mchango ni muhimu kwa aliyejaliwa sababu mimi nikichanga buku siyo kitu lakini hizo buku zikiwa mia moja zinaweza kusaidia kitu kama chakula,maji,usafiri na mengineyo kwa waliopo muhimbili tujuane
Dah pole ulijuana naye kwenye connection ka zile story zako nini?
I wish I could join you guys.
Poleni sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom