Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Shujaa na Mbabe wa kivita, mchecheni Kadyrov, kawaeleza Poland kuwa ni bora wachukue silaha zao Ukraine ili wazitumie kujilinda wao wenyewe, na wachukue wapiganaji waliowapeleka Ukraine na kisha waombe msamaha rasmi kwa walichomfanyia balozi wa Russia nchini Poland. Wasidhani tukio lile walilomfanyia balozi huyo litapita kimya kimya.
Kadyrov akaendelea kuiambia Poland kuwa ana usongo nayo ile mbaya...Ukraine tayari wameshainyoosha...Anasubiri command tu toka kwa Putin waingie mzigoni Poland. Wakipata ruhusa, wataionesha Poland uwezo wao ktk medani za kivita ndani ya sekunde 6 tu...