Ramzan Kadyrov, mbabe wa kivita wa Chechnya, kaiambia Poland bora ichukue silaha zake Ukraine, kwani Poland ndiyo inayofuata baada ya Ukraine

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Shujaa na Mbabe wa kivita, mchecheni Kadyrov, kawaeleza Poland kuwa ni bora wachukue silaha zao Ukraine ili wazitumie kujilinda wao wenyewe, na wachukue wapiganaji waliowapeleka Ukraine na kisha waombe msamaha rasmi kwa walichomfanyia balozi wa Russia nchini Poland. Wasidhani tukio lile walilomfanyia balozi huyo litapita kimya kimya.

Kadyrov akaendelea kuiambia Poland kuwa ana usongo nayo ile mbaya...Ukraine tayari wameshainyoosha...Anasubiri command tu toka kwa Putin waingie mzigoni Poland. Wakipata ruhusa, wataionesha Poland uwezo wao ktk medani za kivita ndani ya sekunde 6 tu...

SmartSelect_20220526-163120_Chrome.jpg
SmartSelect_20220526-163159_Chrome.jpg
SmartSelect_20220526-163231_Chrome.jpg
 
[emoji845] [emoji635] Politico has published a list of European companies that pay Russia for gas through Gazprombank[emoji845]

These are companies from Germany, France, Italy, Hungary, the Czech Republic, Slovakia and Slovenia, one Italian has an account in both euros and rubles[emoji383]
 
Shujaa na Mbabe wa kivita, mchecheni Kadyrov, kawaeleza Poland kuwa ni bora wachukue silaha zao Ukraine ili wazitumie kujilinda wao wenyewe, na wachukue wapiganaji waliowapeleka Ukraine na kisha waombe msamaha rasmi kwa walichomfanyia balozi wa Russia nchini Poland. Wasidhani tukio lile walilomfanyia balozi huyo litapita kimya kimya.

Kadyrov akaendelea kuiambia Poland kuwa ana usongo nayo ile mbaya...Ukraine tayari wameshainyoosha...Anasubiri command tu toka kwa Putin waingie mzigoni Poland. Wakipata ruhusa, wataionesha Poland uwezo wao ktk medani za kivita ndani ya sekunde 6 tu...

View attachment 2239514View attachment 2239515View attachment 2239516
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41]
 
A man and a half......kadyrov
 
Poland sweeden na finland nahic kunaweza kuchomoka betri mudq wowote.
 
[emoji845] [emoji635] Politico has published a list of European companies that pay Russia for gas through Gazprombank[emoji845]

These are companies from Germany, France, Italy, Hungary, the Czech Republic, Slovakia and Slovenia, one Italian has an account in both euros and rubles[emoji383]
Sasa hivi mi Ulaya mzima imenyoisha mikono
Screenshot_20220525-072708.jpg
 
Kumbe ushabiki bila uhalisia Kazi kubwa Sana.Kwa hiyo Kuna watu bado mnaaminu Urusi atashinda hii vita? Poleni Sana ,hii vita Urusi anashindwa na Kwa kuwasaidia huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia,anaebisha asubili muda utupe majibu
 
Back
Top Bottom