Range Rover 13 anazomiliki Mchungaji Geordavie

Hela za wajinga,hili taifa lina wajinga wengi watu wanajipigia watakavyo na watapigwa sana.

Kuambiwa toa sadaka ya kujimaliza ili ufanikiwe na unajua kabisa ktk kutafuta kwako maisha hujawahi kufanikiwa hata mara moja ila yule uliyempa sadaka yako mwezi mmoja nyuma kwa ahadi akuombee ufanikiwe unaona anazidi yeye kung’aa na unaendelea kumpa sadaka huo siyo ugonjwa wa akili tu bali wewe ni maiti inayotembea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…