Range Rover 13 anazomiliki Mchungaji Geordavie

C
Christina akiitwa tu church pale akimsifu jamaa(mwenyewe anmuita babake) akiimba.akimaliza hata mil kumi uhakika anapewa siku hiyohiyo.sahivi ni maswahiba
Kwanini asidharau ndoa yake?
Huyu baba anasifika kwa kumwaga mihela
 
Kuongelea pesa ndio kukoje huko?....au ni kupeana mbinu za mafanikio?
Yaan pale anaongelea mafanikio na jinsi wenye mafanikio wanavyoishi kwa maisha ya kumpendeza mungu,atawashauri waumin wajitahid kusali na kumwamin mungu wa madhabau yake ili wafanikiwe zaidi,pia atawashauri watoe zaidi sadaka watafanikiwa zaidi au kama hujafanikiwa,inabid usubir kidogo utomboe maana ukifika kwenye madhabau kwake na ukamwamin mungu wake kutoboa ni rahis
 
Waislamu wanamambo yao.
Ila yakule kidogo kuyaelewa hadi uwe umelewa haswaaa...
Maana tajiri anazidishiwa na maskini anazidi kukamuliwa hata kile kidogo alicho nacho wanakichukua.
Ukweli sijawahi kuona upumbavu wanamna hii. Yaani unamwambie maskini apokee nyumba ya kifakhari harafu weweanakuchangia shilingi elfu mbili halisi.
 
embu
tueleweshe tujue kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…