Range Rover 2022

Kwa upande wangu sijapenda muonekano wa nje umekaa futuristic sana kwa nyuma
Kwa ndani imetulia hamna buttons nyingi au vitu vya ajabu
 
Aiseeee njaa hizi



Sema kali...

Nilijua ni RR umeiweka nikawahi kweli nkaone RR ya 24k[emoji23][emoji23]
 
Mbona naskia ishafika moja znz
 
Gari za Japanese hata V8 engine zao huwa nashindwa kuelewa zile sound, yaani gari v8 inalia kama premio,🤣..

V8 za mzungu, dude kama Ford likiunguruma tu huna haja ya kuuliza kama ni v8😃
hata hao watu weupe wanaziheshimu gari za kijapan in terms of durability. For your information hiyo Range Rover after 10 years resale value yako itakua chini zaidi mara mbili zaidi ya land Cruiser ya mwaka 2020
 
Ngoja niendelee kuomba Mungu nitimize ndoto yangu ya kumiliki disco 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…