jombi95
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,408
- 2,184
hahhahaa vipi mkuu..??...unatka kuinunua niniKudadadek ngoja!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahhahaa vipi mkuu..??...unatka kuinunua niniKudadadek ngoja!!!
kuna msemo ; '''mtaka nyingi nasaba, hupata mingi misiba'
Nikaangalia picha naona Range Rover Evoque.
TATA Motors ni kampuni ya India, BMW ni kampuni ya Ujerumani na imenunuliwa na Mercedes Benz. Pia, kwenye X series za BMW sina uhakika kama kuna X4. Nafahamu X1, X3, X5 na X6.
Nimeshindwa kupata connection.
Kama sikosei huyo mhindi/TATA kamnunua Landrover et al.TATA na range rover najua ni kampuni tofauti.
AudiKwa upande wa range me nawakubali sana ,Germany wako vizur gari zao ni imara na nzuri sana....mf bmw, mercedez, Volkswagen
Msiba unao uma moyoni ndiyo wenye uchungu mwingikuna msemo ; '''mtaka nyingi nasaba, hupata mingi misiba'
RC wa kwanza duniani mwenye kutumia jina lisilo lake, mwenye division zero orginalDaud Albert bashite
Mkuu...Jamaa wa design department ya Jaguar Land Rover yupo safi sana. Inafurahisha jinsi gari zao nyingi zinavyoendelezwa ki teknolojia huku zikiendelea kuwa na muonekano wa kuvutia tofauti na wa Toyota Motors Corporation ambae amebofoa katika gari zao nyingi mpya zina shape za viazi mbatata, yani hazina mvuto kabisa na designer akiwa bado yupo kwenye kiti cha ofisi nashindwa elewa sijui wanawaza nn kuunda gari za ajabu ajabu tu...arrgh!
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora ulete huu uzi wampuzishe Saul maana amekuwa gumzo JF
Hawa jamaa wa JLR wanajua nn wanafanya, im in love with all jaguars especially the f-pace ndio voila!!!Mkuu...
Jaguar Land Rover,design department wapo vizuri sana.Gari zao zinaonesha uluxury tangia nje.
Ukiiona tu gari kwa nje ilivyo nzuri unajua hii ni luxury.
Mfano angalia Jaguar X-Series na Range Rover Series... Hizi gari ni nzuri mno outside.
Toyota wanafeli kwenye design... Gari inakua kama mkate.
Acha kuponda wakati Tanzania mmeshindwa kuunda hata box la juisi standard.Mkuu...
Jaguar Land Rover,design department wapo vizuri sana.Gari zao zinaonesha uluxury tangia nje.
Ukiiona tu gari kwa nje ilivyo nzuri unajua hii ni luxury.
Mfano angalia Jaguar X-Series na Range Rover Series... Hizi gari ni nzuri mno outside.
Toyota wanafeli kwenye design... Gari inakua kama mkate.
Passo vp mkuu huipendi?Hawa jamaa wa JLR wanajua nn wanafanya, im in love with all jaguars especially the f-pace ndio voila!!!
Passo vp mkuu huipendi?
Wengine hizi gari kali tutazidi kuziona kwa wenzetu, kupanda za wenzetu na kuziona online. Kuna moja nilipanda siku moja sikutamani kushuka.
Kwa hiyo sisi wanachama wa passo owners association (POA) tujitathmini upya sio?Passo nayo ni gari sasa, ni matatizo ya hii nchi tu mkuu ila ningekuwa raia wa dubai stori ingekuwa tofauti.
Gari za kiume ni SUV's tu mzee, likes za Range Rover,Ford Explorer, Land Cruiser VX/LX, Chevrolet Tahoe, Cadillac Escalade, Nissan y62...