Sosinsa Unswe
Member
- Oct 30, 2016
- 91
- 76
Land Rover is One of several manufatures owned by Tata.so The rest of the brands are still under Land Rover England.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhari ww Bwana Funga Bakuri LakoJamaa wa design department ya Jaguar Land Rover yupo safi sana. Inafurahisha jinsi gari zao nyingi zinavyoendelezwa ki teknolojia huku zikiendelea kuwa na muonekano wa kuvutia tofauti na wa Toyota Motors Corporation ambae amebofoa katika gari zao nyingi mpya zina shape za viazi mbatata, yani hazina mvuto kabisa na designer akiwa bado yupo kwenye kiti cha ofisi nashindwa elewa sijui wanawaza nn kuunda gari za ajabu ajabu tu...arrgh!
Mkuu...Tafadhari ww Bwana Funga Bakuri Lako
![]()
Gari ya zamani kodi ipo chini mkuu.Hivi Wakuu...
gari kama iyo ni ya 2017/18....tuseme price yake huko ni $50,000.
Ukiagiza TRA wanaweza kukata kodi bei gani (approximately)...
Maana navojua wanasema kua magari ya zamani (chakavu) kodi yake ipo juu...sasa ilo la 2017 tuseme ni dola 50,000 kodi yake vp?
Mkuu...Land Rover is One of several manufatures owned by Tata.so The rest of the brands are still under Land Rover England.
Tatizo hujanipata vyema kiongozi, niliposema design ya toyota sikumaanisha lexus peke yake bali gari nyingi toka toyota zina sura mbaya achilia chache ambazo zinahesabika ndio zenye muonekano mtamu kama hio lexus570 ama Land Cruiser 200 ya 2016.Tafadhari ww Bwana Funga Bakuri Lako
![]()
Sio zote mkuu, gari kuwa na cc kubwa ndio msiba hata iwe ya zamani TRA wanaangalia hizo hawajali ya mwaka gani! Kama huamini calculate bei ya range rover p38 uone balaa lake.Gari ya zamani kodi ipo chini mkuu.
Gari ya zamani kodi ipo chini o juu mkuu?Gari ya zamani kodi ipo chini mkuu.
Mkuu mfano 2017 Discovery Sport yenye 1999cc ..tuseme price yake ni $38,000. Hapo kodi yake itakuaje ukikadiria...mana sio chakavu hiyoSio zote mkuu, gari kuwa na cc kubwa ndio msiba hata iwe ya zamani TRA wanaangalia hizo hawajali ya mwaka gani! Kama huamini calculate bei ya range rover p38 uone balaa lake.
Mkuu mimi huwa sipendi matusi. Ila hili tusi lako imenibidi nicheke kwanza. Maana nimeassume nakuona live halafu ndio unatamka hivyo.Tafadhari ww Bwana Funga Bakuri Lako
![]()
Aisee discovery 5 sijaiona kwenye valuation calculator ila kwa gari ya mwaka huu yenye cc hizo under discovery tuchukulie 4 ambayo ipo. Tax breakdown inakuwa kama hapa chini:Mkuu mfano 2017 Discovery Sport yenye 1999cc ..tuseme price yake ni $38,000. Hapo kodi yake itakuaje ukikadiria...mana sio chakavu hiyo
Nimekupata mkuu.Aisee discovery 5 sijaiona kwenye valuation calculator ila kwa gari ya mwaka huu yenye cc hizo under discovery tuchukulie 4 ambayo ipo. Tax breakdown inakuwa kama hapa chini:
View attachment 476791
Hio total Taxes ndio kodi utakayo waachia bandari mkuu. Ni mbali CIF ya hio gari ambayo ndio hio $38,000/= isipokuwa TRA hawataitambua hio na watakadiria kuwa kwa mwaka na toleo la gari na displacement yake utakuwa umeuziwa kwa bei ya $62,532.09 hata kama itakuwa pungufu na hamna kitu utafanya.
Nadhani umenipata mkuu!
KabisaUko sahihi kabisa mkuu,
Mjerumani kwanza, wengine wanafuata.
Nimekupata mkuu.
Sasa mbona kodi imekua kubwa na wakati sio "gari chakavu"?
Bado wana ile dhana ya "gari ni anasa" itakuaHao ndio TRA ukisikia watu wanaoagizaga magari wanawalalamikia kuwa kodi haiko fair huo ndio uhalisia kiongozi yani hamna nafuu uchukue kuu kuu ama jipya ni maangamizi tu...Ukichimama nchalee!!..uchichuma nchalee!!..uchilala nchalee!!..uchikimbia nchalee!!!
Ndio maanake mkuu, na ndio maana hali ipo hivyo.Bado wana ile dhana ya "gari ni anasa" itakua