Range Rover amchokoza BMW X4!

Range Rover amchokoza BMW X4!

Wengine hizi gari kali tutazidi kuziona kwa wenzetu, kupanda za wenzetu na kuziona online. Kuna moja nilipanda siku moja sikutamani kushuka.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Acha kuponda wakati Tanzania mmeshindwa kuunda hata box la juisi standard.
Hivi umeiona comment yangu tu ndio imeongelea design mbovu za Toyota?... Au una yako?.

Hata Kama Tanzania imeshindwa kutengeneza gari... Ndio kila gari iwe nzuri kwetu?

Kuna Taste and preference.
 
...endelea tu kunicheka, ila X4 sina...kama unanikimbia kisa sina poa tu[emoji12] [emoji12]
Mie si unajua sina makuu, hata kibaby walker tu mie karoho kwatuuu.
 
Wakuu kwema,Nimefurahi kuona new model ya Ranger Rover.
Pili baada ya crisis ya muda mrefu Land Rover ambaye alikuwa anatengeneza Land Rovers na Range Rovers aliamua kuuza trade mark ya Land Rover(sio Range Rover) kwa Ford.Ford wakaiuza kwa Tata.na kwa mujibu wa deni lilivyokuwa kubwa Land Rover England waliweza kupata ONLY usd $1(sawa na buku na mia tano itategemea na rate).
So makubaliano yakawa kuwa Tata asibadili trade mark(R) kwa maana ya body,pili achukue wataalam pia.hiyo ilimaanisha kuwa body ya Land Rover haikutakiwa kubadilika wala attribute muhimu ili kutokuwachanganya wateja wao.
Wakati huo Land Rover England wakabakia na utengenezaji wa Range Rover peke yake.
Sasa Tata India na Ford wakatoa Land Rover mtaani tunaiita(PUMA).hii ina body ya Land Rover kama mnavyoijua TDI ila ina Engine ya Ford.
Ford wameifanya engine kuwa kisasa inatumia wires badala ya cables.
Kiufupi hii gari ina gear 7,kwa maana 6 za mbele na 1 reverse.so inakimbia hatari.
Ila watu binafsi na mashirika wameshindwa kuzihudumia hasa inapoharibika Engine.
Na iwapo ukipeleka iwe diagnised mzee uwe na pochi ya uhakika.
Mashirika makubwa mchini ikiwemo Tanapa,Tasaf na Tra wameshindwa gharama zake.walichokifanya ni kubandua engine hiyo na kubandika engine ya TDI 200,300.
So to make it clear ni kwamba Range Rover bado inatengenezwa na Land Rover England na wala Tata India Hatengenezi Range Rover.Tata anatengeneza Land Rover ya kawaida.
Na taarifa nilizozipata ni kuwa hata Tata pia Wamesitisha uzalishaji wa Land Rover Puma maana hata wao wamepata hasara.
Napenda Magari hasa 4*4
 
Una maana gani kusema Range Rover inatengenezwa na Land Rover England and Tata India anatengeneza Land Rover?

Tata motors alinunua Land Rover na Jaguar Cars ambazo zote zipo Coventry England.

Hivyo kuanzisha kampuni ya Jaguar Land Rover.

Tata motors anabaki kama mmiliki wa hii kampuni lakini... Land Rover inabaki kuzalisha Range Rover(series zote), Discovery(Series zote) na Defender.

Jaguar anabaki kuzalisha Jaguar X (series zote) naJaguar F(series zote).

Hapa mmiliki ni mhindi lakini product ni pure kutoka England... Ndio maana hata CO wa Jaguar Land Rover sio mhindi.
 
Kwa hiyo sisi wanachama wa passo owners association (POA) tujitathmini sio?
Hahahahaha we jamaa umeamua kunipasua mbavu...hahahahahahah! (POA)!
Aisee kweli inabidi tujitathmini kuendesha kifaa cha piston 3 si mchezo mchezo.
 
Range Rover ni moja ya product inayotengenezwa na Land Rover.mfano mwepesi bwana Clement ni kama kampuni ya Soda za Coca Cola.Coca Cola wana product nyingi,coca yenyewe,fanta za flavour mbalimbali,sprite,bitter lemon,ginger ale na nyingine ongezea mwenyewe.Sasa hawa Coca tuseme waamue kumuuzia Azam product yao ya Ginger ale .Sasa Product za Land Rover ni Ranger Rover,Discovery,Freelander,Land Rover.
Hapa Land Rover kama kampuni wameuza brand yao moja ambayo ni Land Rover tu.wao wamebakia na Ranger Rover,Discovery series na Freelander series.
Nadhani umenisoma Mkuu.soma tena kule ktk post yangu ya kwanza utaelewa
 
Dar es Salaam tupo kwenye mchakato wa kuunda gari yetu itakayoitwa BASHI-KORONIJE?
 
Hivi umeiona comment yangu tu ndio imeongelea design mbovu za Toyota?... Au una yako?.

Hata Kama Tanzania imeshindwa kutengeneza gari... Ndio kila gari iwe nzuri kwetu?

Kuna Taste and preference.
Preference speaks of all. Na haya maendeleo ya technolojia na cars' designers hawako nyuma ku add new features kwenye magari, do you think you will maximize your utility once for all?
 
Of course not.
 
Range Rover ni moja ya product inayotengenezwa na Land Rover.mfano mwepesi bwana Clement ni kama kampuni ya Soda za Coca Cola.Coca Cola wana product nyingi,coca yenyewe,fanta za flavour mbalimbali,sprite,bitter lemon,ginger ale na nyingine ongezea mwenyewe.Sasa hawa Coca tuseme waamue kumuuzia Azam product yao ya Ginger ale .Sasa Product za Land Rover ni Ranger Rover,Discovery,Freelander,Land Rover.
Hapa Land Rover kama kampuni wameuza brand yao moja ambayo ni Land Rover tu.wao wamebakia na Ranger Rover,Discovery series na Freelander series.
Nadhani umenisoma Mkuu.soma tena kule ktk post yangu ya kwanza utaelewa

Range Rover - Wikipedia

Land Rover - Wikipedia

The Range Rover is a British made, full-sized four-wheel drive sport utility vehicle (SUV) produced by Land Rover, and serves as its flagship model. Land Rover is one of several auto manufacturers owned by Tata Motors, a part of the Indian multinational conglomerate Tata Group. The Range Rover was launched in 1970. It is now in its fourth generation. Land Rover has expanded the Range Rover model line to include different designs: the Range Rover Evoque, the Range Rover Velar and the Range Rover Sport.
 
Back
Top Bottom