Range Rover amchokoza BMW X4!

Land Rover is One of several manufatures owned by Tata.so The rest of the brands are still under Land Rover England.
 
Tafadhari ww Bwana Funga Bakuri Lako



 
Hivi Wakuu...
gari kama iyo ni ya 2017/18....tuseme price yake huko ni $50,000.
Ukiagiza TRA wanaweza kukata kodi bei gani (approximately)...
Maana navojua wanasema kua magari ya zamani (chakavu) kodi yake ipo juu...sasa ilo la 2017 tuseme ni dola 50,000 kodi yake vp?
 
Gari ya zamani kodi ipo chini mkuu.
 
Tafadhari ww Bwana Funga Bakuri Lako



Tatizo hujanipata vyema kiongozi, niliposema design ya toyota sikumaanisha lexus peke yake bali gari nyingi toka toyota zina sura mbaya achilia chache ambazo zinahesabika ndio zenye muonekano mtamu kama hio lexus570 ama Land Cruiser 200 ya 2016.

Namaanisha hivi:
Hii ya mwanzo ni Camry ya mwaka 2018, ya kati ni ya 2015 sasa linganisha na toleo la mwaka 2011 hio pearl white halafu utaniambia ipi yenye muonekano wa kuvutia licha ya kuwa ni toleo la siku nyingi?





Na huu ni mfano wa gari moja tu, toyota cars suck as generations trend. Zinakuwa za kiwaki kila toleo likiitwa jipya. ila cheki trend ya rovers, kila ikija mpya inakuwa na mvuto kuliko ya nyuma!
 
Clement ukweli ndio huo Tata hajanunua au kuoewa haki 100%.Kapewa brand moja tu ambayo ni Land Rover bro,Range Rover imebakia ibatengenezwa na Land Rover(kiwanda mama UK)
 
Sio zote mkuu, gari kuwa na cc kubwa ndio msiba hata iwe ya zamani TRA wanaangalia hizo hawajali ya mwaka gani! Kama huamini calculate bei ya range rover p38 uone balaa lake.
Mkuu mfano 2017 Discovery Sport yenye 1999cc ..tuseme price yake ni $38,000. Hapo kodi yake itakuaje ukikadiria...mana sio chakavu hiyo
 
Wakati wenye nazo mambele wanabadili hizo range,

Bongo duki naa wanabadili tecno then wanajisifu kitaa
 
Tafadhari ww Bwana Funga Bakuri Lako



Mkuu mimi huwa sipendi matusi. Ila hili tusi lako imenibidi nicheke kwanza. Maana nimeassume nakuona live halafu ndio unatamka hivyo.

Lakini naomba nieleweshe uhusiano wa lexus na toyota. Hivi lexus nayo ni kampuni kama toyota au iko ndani ya toyota?
 
Mkuu mfano 2017 Discovery Sport yenye 1999cc ..tuseme price yake ni $38,000. Hapo kodi yake itakuaje ukikadiria...mana sio chakavu hiyo
Aisee discovery 5 sijaiona kwenye valuation calculator ila kwa gari ya mwaka huu yenye cc hizo under discovery tuchukulie 4 ambayo ipo. Tax breakdown inakuwa kama hapa chini:



Hio total Taxes ndio kodi utakayo waachia bandari mkuu. Ni mbali na CIF ya hio gari ambayo ndio hio $38,000/= isipokuwa TRA hawataitambua hio na watakadiria kuwa kwa mwaka na toleo la gari na displacement yake utakuwa umeuziwa kwa bei ya $62,532.09 hata kama itakuwa pungufu na hamna kitu utafanya.

Nadhani umenipata mkuu!
 
Nimekupata mkuu.
Sasa mbona kodi imekua kubwa na wakati sio "gari chakavu"?
 
Nimekupata mkuu.
Sasa mbona kodi imekua kubwa na wakati sio "gari chakavu"?

Hao ndio TRA ukisikia watu wanaoagizaga magari wanawalalamikia kuwa kodi haiko fair huo ndio uhalisia kiongozi yani hamna nafuu uchukue kuu kuu ama jipya ni maangamizi tu...Ukichimama nchalee!!..uchichuma nchalee!!..uchilala nchalee!!..uchikimbia nchalee!!!
 
Bado wana ile dhana ya "gari ni anasa" itakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…