Defender inarudi sokoni... Sahivi ipo kwenye restructure... Nilisikiliza interview ya CEO akiongelea Defender..Hili Range Rover Velar linachukua nafasi ya Defender kwenye soko na model yake ya 4X4.
Hili gari linatumia pia mfuno wa gia nane za automatic.
Ukiwa unaendesha hili gari khasa unapotumia matairi yote manne , una uwezo wa kuona picha kwenye kioo za jinsi gari invyoshughulika kuhakikisha linakufikisha unakokwenda.
Ila bado halijalifikia "legend" mwenyewe, LandRover Discovery ambae bado anatawala soko.
Bila kumsahau,heshima kwake baba mkwe AUDIKwa upande wa range me nawakubali sana ,Germany wako vizur gari zao ni imara na nzuri sana....mf bmw, mercedez, Volkswagen
Gari ya kiume ni Land Rover 109 tu mkuu,we ushaonaga yale mabrek down kuna mtoto wa kike anaendesha?hayo ulotaja hapo madem kibao wanaendesha town!Passo nayo ni gari sasa, ni matatizo ya hii nchi tu mkuu ila ningekuwa raia wa dubai stori ingekuwa tofauti.
Gari za kiume ni SUV's tu mzee, likes za Range Rover,Ford Explorer, Land Cruiser VX/LX, Chevrolet Tahoe, Cadillac Escalade, Nissan y62...
Cha Arusha!!Dhaaa gar n tam asee vle tu inakudanjisha
kwa ubora upi mnaozungumzia? mana reliability ya gari ni mbovu ukilinganisha na mjapan! ubora waliokuwa nao ni kufanya mambo rahisi kuwa magumu. Hakuna gari bora kwa reliability kama mjapani.Uko sahihi kabisa mkuu,
Mjerumani kwanza, wengine wanafuata.
acha uongo wwKampuni ya TATA Motors ni mmiliki wa Jaguar Range Rover!
Kampuni ya TATA Motors ni mmiliki wa Jaguar Range Rover!
Wakati mwengine ni bora kunyamaza kwa usilolijua,wahindi wa TATA ndio wamiliki wa jaguar landroveracha uongo ww
range ni land rover