Range Rover amchokoza BMW X4!

Range Rover amchokoza BMW X4!

Hili Range Rover Velar linachukua nafasi ya Defender kwenye soko na model yake ya 4X4.

Hili gari linatumia pia mfuno wa gia nane za automatic.

Ukiwa unaendesha hili gari khasa unapotumia matairi yote manne , una uwezo wa kuona picha kwenye kioo za jinsi gari invyoshughulika kuhakikisha linakufikisha unakokwenda.

Ila bado halijalifikia "legend" mwenyewe, LandRover Discovery ambae bado anatawala soko.
Defender inarudi sokoni... Sahivi ipo kwenye restructure... Nilisikiliza interview ya CEO akiongelea Defender..
 
Yap na debate kubwa ni whether warudie engine za zamani au wa stick na hii ya puma ambayo ni too sofisticated
 
Passo nayo ni gari sasa, ni matatizo ya hii nchi tu mkuu ila ningekuwa raia wa dubai stori ingekuwa tofauti.

Gari za kiume ni SUV's tu mzee, likes za Range Rover,Ford Explorer, Land Cruiser VX/LX, Chevrolet Tahoe, Cadillac Escalade, Nissan y62...
Gari ya kiume ni Land Rover 109 tu mkuu,we ushaonaga yale mabrek down kuna mtoto wa kike anaendesha?hayo ulotaja hapo madem kibao wanaendesha town!
 
Uko sahihi kabisa mkuu,
Mjerumani kwanza, wengine wanafuata.
kwa ubora upi mnaozungumzia? mana reliability ya gari ni mbovu ukilinganisha na mjapan! ubora waliokuwa nao ni kufanya mambo rahisi kuwa magumu. Hakuna gari bora kwa reliability kama mjapani.
 
Kampuni ya TATA Motors ni mmiliki wa Jaguar Range Rover!
49ebad3f6e6e6878d1c61546f82d109d.jpg
da04fa981591f7f6a5efde2bffd65d7a.jpg

ACHA KULISHA SUMU WATU
 
Ubora na Bei za hayo magari yapo tofauti kabisa Porsche unafananisha na BMW X 4 au umeweka tuu porsche matoleo yake ni magari bora ever SA yenyewe gari zimejaa kama simu lakini Porshe panorama au Cayanna ni gari za adabu huwezi fananisha na matoleo hayo hata siku moja...
 
Back
Top Bottom