Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Defender inarudi sokoni... Sahivi ipo kwenye restructure... Nilisikiliza interview ya CEO akiongelea Defender..Hili Range Rover Velar linachukua nafasi ya Defender kwenye soko na model yake ya 4X4.
Hili gari linatumia pia mfuno wa gia nane za automatic.
Ukiwa unaendesha hili gari khasa unapotumia matairi yote manne , una uwezo wa kuona picha kwenye kioo za jinsi gari invyoshughulika kuhakikisha linakufikisha unakokwenda.
Ila bado halijalifikia "legend" mwenyewe, LandRover Discovery ambae bado anatawala soko.