Range Rover imegharimu zaidi ya mil. 32 kukarabati taa na bampa la mbele

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Ukiangalia hapo kwenye picha inaonyesha kabisa sehemu ilipogonga na kuharibika.
Hivyo kupelekwa Nairobi kwa ajili ya matengenezo.

Kisha ukiangalia kwenye Total.
Hii gari imegharimu shilingi za Kenya 1,614,720

Ukiangalia exchange rate ya shilling ya Kenya Ni sawa na sh. 20.37 ya Tanzania.

Hivyo ukiibadili katika Tsh. Unapata takribani 32,891,846.40

Yaani shilingi million 32, laki 8, tisini na moja elfu na Mia nane arobaini na sita na Senti arobaini TU za kitanzania[emoji4]
 
And!!!! Bei ya kawaida sana tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…