Range Rover imegharimu zaidi ya mil. 32 kukarabati taa na bampa la mbele

Range Rover imegharimu zaidi ya mil. 32 kukarabati taa na bampa la mbele

Hiyo invoice sidhani kama ni ya dealer wa Landrover, angalia email inayotumika ni yahoo. Hakuna kampuni serious kama delaer inaweza kufanya hivyo. Pili invoice imekaa kienyeji sana. Kawaida ya dealer kuwa na invoice imesheheni breakdown za kufa mtu
 
Hii ni kweli. Mimi nikiyaona aina fulani ya magari hadi napunguza mwendo au na overtake responsibly
Ndiyo maana sisi akina IST, mnatufanyia kiburi vile, sababu ukitugonga unaweza kutulia, sasa mimi ukiigonga IST yangu, nataka mpya, siyo ya kunyoosha nyoosha yale mabati yanalegea, pili mirangi kwakua hawawezi kunyoosha vizuri, wanajaza miputi tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo ni vogue so ni kawaida hiyo ni luxury bro...ingekuwa sport mbona fresh tu
 
Ukiangalia hapo kwenye picha inaonyesha kabisa sehemu ilipogonga na kuharibika.
Hivyo kupelekwa Nairobi kwa ajili ya matengenezo.

Kisha ukiangalia kwenye Total.
Hii gari imegharimu shilingi za Kenya 1,614,720

Ukiangalia exchange rate ya shilling ya Kenya Ni sawa na sh. 20.37 ya Tanzania.

Hivyo ukiibadili katika Tsh. Unapata takribani 32,891,846.40

Yaani shilingi million 32, laki 8, tisini na moja elfu na Mia nane arobaini na sita na Senti arobaini TU za kitanzania[emoji4]View attachment 2052951View attachment 2052952View attachment 2052956
Ulishindwa kwenda auto rovee
 
Ukimiliki izo gari Katia kabisa Bimaa jombaa.
 
Mwanamke akusumbue, maisha yakusumbue, kazi ikisumbue. Na gari nayo ikisumbue? Kazi ya gari ni kuiendesha na sio ikuendeshe.

Mambo ya magari ya ulaya tulishaongea sana humu, jidanganyeni spare zipo online, omba lisikukute. Toyota for life.
 
Back
Top Bottom