Range Rover imegharimu zaidi ya mil. 32 kukarabati taa na bampa la mbele

Range Rover imegharimu zaidi ya mil. 32 kukarabati taa na bampa la mbele

Ukiangalia hapo kwenye picha inaonyesha kabisa sehemu ilipogonga na kuharibika.
Hivyo kupelekwa Nairobi kwa ajili ya matengenezo.

Kisha ukiangalia kwenye Total.
Hii gari imegharimu shilingi za Kenya 1,614,720

Ukiangalia exchange rate ya shilling ya Kenya Ni sawa na sh. 20.37 ya Tanzania.

Hivyo ukiibadili katika Tsh. Unapata takribani 32,891,846.40

Yaani shilingi million 32, laki 8, tisini na moja elfu na Mia nane arobaini na sita na Senti arobaini TU za kitanzania[emoji4]View attachment 2052951View attachment 2052952View attachment 2052956
Hizi ni sifa sasa,hiyo si ni bei ya Harier kila kitu mpka ushuru na reg.
 
Tumia akili miguu yako na kilichoko chini ya kitovu chako utazipata hizo m32 kilaini yani ki ky ky au ki slowslow
Halafu comment za hiv ni za hovyo kabisa .kama ndiyo biashara yako inayokuweka mjini si ubaki nayo kimya kimya
 
Hapa labda kama Unazungumzia Third Party Insurance.

Ila Comprehesive Insurance watakulipa.

Halafu gari kama hii kukatia Third Party ni wehu.
Kwamba comprehensive insurance watagharamja maintanance?, Mbona kama sijakuelewa!
 
Una mdomo chafu zaidi ya uchafu wenyewe. Unadhani watu wote ni wachafu kama unavyodhani? Ni wapi nimesema naomba kununuliwa ist? Embu jiulize ukichokiandika watu wakisoma hapo wataelewa nini?

Hivi unajua kila unachoandika humu kinasomwa na watu wangapi?

Mimi jimetania tu kuwa nikiokota mil 32 kutokana na mada ilokuwepo wewe unaleta mambo ya ajabu.umenikera kweli.
Nisamehe Lucky wangu afu nilitaka nije PM nikuombe kitu yako hiyo...
Lakini, ulivosema unatamani kuokota mihela yote hiyo...hata mtu akikuhonga si ni kama umeokota vile, yaani unabonyezwa na mbunye unabaki nayo kiroho safi mpunga kwenye pochi!!
Afu usijikasirishe mtoto mzuri kama nakutania je!
 
Hiyo hela mtumie tu mama yako atafurahi sana
 
Ukiangalia hapo kwenye picha inaonyesha kabisa sehemu ilipogonga na kuharibika.
Hivyo kupelekwa Nairobi kwa ajili ya matengenezo.

Kisha ukiangalia kwenye Total.
Hii gari imegharimu shilingi za Kenya 1,614,720

Ukiangalia exchange rate ya shilling ya Kenya Ni sawa na sh. 20.37 ya Tanzania.

Hivyo ukiibadili katika Tsh. Unapata takribani 32,891,846.40

Yaani shilingi million 32, laki 8, tisini na moja elfu na Mia nane arobaini na sita na Senti arobaini TU za kitanzania[emoji4]View attachment 2052951View attachment 2052952View attachment 2052956

Hata hivyo hiyo RR inaonekana ni L405... Kuanzia 2011...

Bei ya spea pia lazima iwe imesimama.
 
kuna gari ukikutana nazo barabarani kaa mbali mita 20 maana daah
Hata ukigonga sheria haikulazimishi utengeneze, ndio mana unaambiwa gari lako liwe na insurance.
Sasa mimi waga nashangaa mtu anakubali kurekebisha gari cjui m 6.
Hapana Insurance inafanya nn? Kama mtu aliqeza nunua gari ya 100M na insurance aweke comprehensive.
 
Back
Top Bottom