Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Gari zao jau tuHilo gari hata niwe na hela kiasi gani, labda niliokote barabarani...
Sijawahi kubarikiwa na nembo yoyote ya Land Rover....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari zao jau tuHilo gari hata niwe na hela kiasi gani, labda niliokote barabarani...
Sijawahi kubarikiwa na nembo yoyote ya Land Rover....
Unreliable brand.Hilo gari hata niwe na hela kiasi gani, labda niliokote barabarani...
Sijawahi kubarikiwa na nembo yoyote ya Land Rover....
Kulala nalo porini kawaida sana...Unreliable brand.
Mfate PM jamaa na umpe na picha zako ukiwa uchi, simple utapata hata IST bureee kabisa...tumia mbunye vizuri dadaYaani sasa hivi nikiokota begi lina mil 32 dah sijui Mungu nitamshukuru vip maana duh!
Una mdomo chafu zaidi ya uchafu wenyewe. Unadhani watu wote ni wachafu kama unavyodhani? Ni wapi nimesema naomba kununuliwa ist? Embu jiulize ukichokiandika watu wakisoma hapo wataelewa nini?Mfate PM jamaa na umpe na picha zako ukiwa uchi, simple utapata hata IST bureee kabisa...tumia mbunye vizuri dada
yaani hapo na NOAH zangu mbili kutoka showroomUkiangalia hapo kwenye picha inaonyesha kabisa sehemu ilipogonga na kuharibika.
Hivyo kupelekwa Nairobi kwa ajili ya matengenezo.
Kisha ukiangalia kwenye Total.
Hii gari imegharimu shilingi za Kenya 1,614,720
Ukiangalia exchange rate ya shilling ya Kenya Ni sawa na sh. 20.37 ya Tanzania.
Hivyo ukiibadili katika Tsh. Unapata takribani 32,891,846.40
Yaani shilingi million 32, laki 8, tisini na moja elfu na Mia nane arobaini na sita na Senti arobaini TU za kitanzania[emoji4]View attachment 2052951View attachment 2052952View attachment 2052956
Tena kapigwa pakubwaSio kwamba jamaa kapigwa?
kwa hiyo kulivuta au kulisafirisha mpaka Nairobi ilikuwa sh ngapi ili nami nijipime kama naweza kupeleka IST yangu kwa matengenezo kule Kenya manake mafundi wa bongo wapo hovyo sana kwenye kunyoosha magari.Milion 32 ......una nunua boda boda 28 ambazo zitakuingizia kipato kiku wa zaid
Alisikika motivational speaker mmoja akisema....
Tatizo siyo kulipata mazee...tatizo ni kulimudu ....kwa hiyo hata ukiliokota kimbia mbali sanaHilo gari hata niwe na hela kiasi gani, labda niliokote barabarani...
Sijawahi kubarikiwa na nembo yoyote ya Land Rover....
Tatizo wabongo uoga tu spea sio shida sikuhizi af umeme mwingi so mafuta linanusa tu ~ aliskika dogo mmoja muuza mitumba kwenye kijiwe cha kahawa
Kijana wa hovyo hovyo usiache kupita humu
Kuna mmoja youtube alinunua range rover kwa 3900 usd , katika maisha yake lilipata spare repairs za karibu, 16000 usd , uzuri lilikuwa kwenye warranty.Tatizo wabongo uoga tu spea sio shida sikuhizi af umeme mwingi so mafuta linanusa tu ~ aliskika dogo mmoja muuza mitumba kwenye kijiwe cha kahawa
Kijana wa hovyo hovyo usiache kupita humu
Hahahahahha bahat yakeKuna mmoja youtube alinunua range rover kwa 3900 usd , katika maisha yake lilipata spare repairs za karibu, 16000 usd , uzuri lilikuwa kwenye warranty.
Bima itamsaidia kwa kuwa alipata ajali, lakini parts repairs , warranty ndo itakuokoa , bima wanakaa mbali kabisaBila shaka alikuwa na Bima
Kwa range rovers hizo figures ni sahihi, jamaa alikuwa quoted 1200 usd kubadilisha front left air suspension.Sio kwamba jamaa kapigwa?
Tatizo za barabara zetu ni kachumbari ya vyombo vya moto , bajaji humo humo , boda boda humo humo , mixer guta , sensors katika mazingira kama hayo lazima zifeli.Unaweza ukawa na hizo sensa na bado isikusaidie,
UTAKUA zako sahii, litakuja jitu uko limeiva linakuvaa TU na kukusababishia.
Bima itamsaidia kwa kuwa alipata ajali, lakini parts repairs , warranty ndo itakuokoa , bima wanakaa mbali kabisa
VX ya mwaka gani??Kubadilisha vitu vyote vilivyoorodheshwa hapo hata Toyota vx itafikisha gharama hiyo
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
manses ipi?Ungeongeza kidogo dau unamvua mtu nyingine kama hiyo 40m tena safi na bado maelewano yapo. Kuna mtu anayo kama hii Manzese anaiuza
prado 90? we jamaaHiyo pesa si unapata Prado 90 series ...?