Range Rover imegharimu zaidi ya mil. 32 kukarabati taa na bampa la mbele

Ukiangalia hapo kwenye picha inaonyesha kabisa sehemu ilipogonga na kuharibika.
Hivyo kupelekwa Nairobi kwa ajili ya matengenezo.

Kisha ukiangalia kwenye Total.
Hii gari imegharimu shilingi za Kenya 1,614,720

Ukiangalia exchange rate ya shilling ya Kenya Ni sawa na sh. 20.37 ya Tanzania.

Hivyo ukiibadili katika Tsh. Unapata takribani 32,891,846.40

Yaani shilingi million 32, laki 8, tisini na moja elfu na Mia nane arobaini na sita na Senti arobaini TU za kitanzania[emoji4]View attachment 2052951View attachment 2052952View attachment 2052956
Bila shaka alikuwa na Bima
 
Kwa maelezo yako unasema ni Taa na Bampa la mbele lakini Invoice haijaandikwa hivyo.
 
Back
Top Bottom