Range Rover liheshimiwe

Rangerover hata Mimi naikubali,,,,hasa ikiwa kwenye mwendo inavyotembea ukiiangalia utadhani imesimama kumbe inaenda.

Ni sh ngap kwa sasa?
Daah Mkuu umenichekesha ulivyouliza bei ni kweli Range na Benz ni moja ya magari yakienda utadhani yamesimama ni mazito utadhani yanakimbia kwenye Reli ya SGR...
 
Watu wanatumia Mkuu washabadilika pia hizo gari ukiipata miaka ya karibuni sio pasua kichwa kama unavyosema....Ford Ranger,Land Rover,Range Rover,Mercedes sio gari sumbufu haziharibiki mara kwa mara labda ununue ya muda mrefu na ishaanza kusumbua...na ukibadili parts yake umebadili hautasikia kelele siku za karibuni...
 
EBU WEKA USHURU NA BEI ZA RR YA 2022 NA LC300
 
Sababu ya kupenda Volvo na Audi ni ipi?
Volvo nimeziendesha zote bado zikiwa mpya na Range pia Audi aina zote
Kwanza Volvo nilichopendea barabarani zimetulia sana na pia ni ngumu sana na zinaongoza kwa safety
XC90 ndio best nafikiri

XC60 nayo ni nzuri ila ndogo kidogo lakini usalama wake ni kama volvo zingine yaani wamezingatia sana usalama

Ina cornering lights najua gari nyingi wameanza kutengeneza hizo
Sipondi Range Rover la hasha maana nimeziendesha zote ila Range nyepesi barabarani kuliko hizo zingine

Audi sijaipenda kihivyo ila ni gari nzuri na imara pia
Kwa umri wangu naona Discovery ingenifaa kwa retirement yangu

Ilinichukua mda mrefu kumfundisha namna ya kuitumia Dada mmoja mzungu alipoagiza kwa drive test

Aliniomba mda wa ziada kumuelewesha zaidi
Discovery mpya katika technology iliyotumika ni hatari
Nafikiri hiyo ndio gari la nyumbani

Range Rover kwa mijini sawa
Kwa sasa nibaki na zee langu tu
 
Utakuwa unachekesha ww. Hv unaijua Range iliyokuwa updated 2022!!??
ama unaruka ruka kama mtoto anaetafuta uji!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Updated au sio๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ gari skuhizi zinakuwa updated nakubali ras simba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Utakuwa unachekesha ww. Hv unaijua Range iliyokuwa updated 2022!!??
ama unaruka ruka kama mtoto anaetafuta uji!?
Na ukumbuke gari sio app ya simu terminology zako zinanifanya nikuone bado huna uelewa wa magari na kinachokuchanganya ni muonekano wa kitu na sio perfomance yake,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila ipo siku utaelewa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Na ukumbuke gari sio app ya simu terminology zako zinanifanya nikuone bado huna uelewa wa magari na kinachokuchanganya ni muonekano wa kitu na sio perfomance yake,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila ipo siku utaelewa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Daah kwa hiyo wewe umeweza kulikagua Range Rover la 2022 mkuu hayo mambo ya performance sijui na vitu vingine...hayo magari yanatupita humu bara barani tukiwa na magari mazuri na bado tunaona yale ni magari kweli wewe umeweza kuyakagua performance yake kirahisi tuu...
 
Sahihi ikiwa mpya ila tembelea japo service usipeleke gereji za uswahilini peleka approved service provider ok charge ya service itakuwa juu.lakini tembelea miaka minne uza baada ya hapo itakuwa pasua kichwa kidogo kidogo kutegemea mileage umetembelea .
Kama ni ya hapa mjini tu miaka saba uza kama ulinunua mpya hata kama mileage ndogo uzuri kama ulinunua direct kupitia approved agent wa Benzi wataiweka sokoni na kuipa guarantee mtu akinunua used kwao but of course itakuwa at a loss you can't recover hata fifty percent ya bei ulinunua sana sana utalipwa robo bei

Ukienda mtaani hiyo robo bei hupati hata mileage ziwe ndogo vipi

Watu hawaamini kununua gari ya mkononi hasa benzi na Range Rover mkono wa mtu kuwa iko fit wanaamini unauza sababu ina shida
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
Unaijua Starlet wewe?
 
Mkuu upo sahihi sema mimi hata sinunui mpya nanunua used hapa SA ila miaka ya karibuni sijawahi kupata shida hizo mnazozungumza humu kila kukicha au hayo magari watu wananunua huko ni machakavu sana...mimi nanunua gari yeyote iwe Ford,Audi,Mercedes bila kuuliza ila huyo mnyama Range sijapata bahati ya kumvuta maana nataka iwe miaka ya karibuni sana sana na kodi yake imechangamka pana Mswahili alilipa kama sio 93m basi 83m ilikua ya 2018...
 
View attachment 2511885Heshima kitu cha bure. Hii ji gari jamani. Hata mimi this is my dream car
Hili gari nalipa heshima sana toka lile ambalo Mwalimu alilipiga marufuku Bank likitembea lilikua na muungurumo kama kundi la nyuki linakufata...Mzee alikua nalo lile yaani akiwa mbali najua mzee anarudi najongea zangu home kama nilikuwepo nadhani lilikua linatumia carburetor Arusha yapo harafu wanatumia vijana tuu..
 
Audi ina muonekano mzuri sana.

Volvo zile taa za nyuma ndo zinakuwa jau sana.
 
Ukijua vidole havilingani hutashangaa mimi kujua perfomance. Kwa gari ipi nzuri ilibrange ikikupita uione bado nzuri๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kama una chombo cha moto kwa muundo wa range lazima uone ni gari japo sijabisha kwamba range si gari nzuri๐Ÿ˜Ž
 
Mkuu hiyo ishu ipotezee pana hii Audi Q 3 na Q 5 nazo hatuwezi kuzikosoa harafu mnavuka mipaka mpaka Range Rover mna balaa ninyi...au BMW X 5 ya 2018 kuendelea ni jiwe balaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ