Sababu ya kupenda Volvo na Audi ni ipi?
Volvo nimeziendesha zote bado zikiwa mpya na Range pia Audi aina zote
Kwanza Volvo nilichopendea barabarani zimetulia sana na pia ni ngumu sana na zinaongoza kwa safety
XC90 ndio best nafikiri
XC60 nayo ni nzuri ila ndogo kidogo lakini usalama wake ni kama volvo zingine yaani wamezingatia sana usalama
Ina cornering lights najua gari nyingi wameanza kutengeneza hizo
Sipondi Range Rover la hasha maana nimeziendesha zote ila Range nyepesi barabarani kuliko hizo zingine
Audi sijaipenda kihivyo ila ni gari nzuri na imara pia
Kwa umri wangu naona Discovery ingenifaa kwa retirement yangu
Ilinichukua mda mrefu kumfundisha namna ya kuitumia Dada mmoja mzungu alipoagiza kwa drive test
Aliniomba mda wa ziada kumuelewesha zaidi
Discovery mpya katika technology iliyotumika ni hatari
Nafikiri hiyo ndio gari la nyumbani
Range Rover kwa mijini sawa
Kwa sasa nibaki na zee langu tu