Range Rover liheshimiwe

Ukiendelea hivi watakubandua soon tu wewe mpumbavu. Akili fupi. Husemi kuwa ikitokea umepata hela au utatafuta hela ili ulinunue wewe unawaza atokee mtu tu akupe bure bure. Acha uzwazwa ngumbaru wewe
Mkuu ushoga ni ugonjwa wa akili machoko wanashobo hao kuliko hata mamanzi wenyewe.
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
Hiyo ni gari ya kuhonga madem waliofikisha umri kama wa Kajala na wasio na mishe mjini
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
Range ni gari tamu sana.
Hata mimi naikubali sana

Kuna gari kali sana lkn mimi gari zangu ni

Premio
Dualis
Vanguard
Range
Defender

Mungu kadri atakavyonijalia nikawa na kipato cha kuchagua cha kununua basi mlolongo ni huo.

Saizi nilikonako nilinunua kwakua pesa yangu ilishia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hapo toa Dualis
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
BMW x7 au x5 ni shida zaidi ila wabongo range inawachanganya
 
Gari za kimarekani ni Mjapani aliyechangamka sasa chev utasema gari kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…