Hold on
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 482
- 1,126
- Thread starter
- #101
Yaja ili naipenda mlio wake ase ni nomaHii kitu ina heshma ya pekee ukiweza kuwa nayo. Jeep Wrangler!
View attachment 2509771
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaja ili naipenda mlio wake ase ni nomaHii kitu ina heshma ya pekee ukiweza kuwa nayo. Jeep Wrangler!
View attachment 2509771
Mkuu ushoga ni ugonjwa wa akili machoko wanashobo hao kuliko hata mamanzi wenyewe.Ukiendelea hivi watakubandua soon tu wewe mpumbavu. Akili fupi. Husemi kuwa ikitokea umepata hela au utatafuta hela ili ulinunue wewe unawaza atokee mtu tu akupe bure bure. Acha uzwazwa ngumbaru wewe
Huyu mmoja anaomba apewe range rover. Kaandika hadi uziMkuu ushoga ni ugonjwa wa akili machoko wanashobo hao kuliko hata mamanzi wenyewe.
Hiyo ni gari ya kuhonga madem waliofikisha umri kama wa Kajala na wasio na mishe mjiniGuys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
Range ni gari tamu sana.Guys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
Mimi hapo toa DualisRange ni gari tamu sana.
Hata mimi naikubali sana
Kuna gari kali sana lkn mimi gari zangu ni
Premio
Dualis
Vanguard
Range
Defender
Mungu kadri atakavyonijalia nikawa na kipato cha kuchagua cha kununua basi mlolongo ni huo.
Saizi nilikonako nilinunua kwakua pesa yangu ilishia hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukipanda Bentley Mulsane utaiona hio range kama premio.Kama lipi
Guys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
Siyo dharau, kwani kuhonga ni dharau? Usije ukasema hatukukwambia.Ulivyo na dharau as if wewe hapo unamishe wizarani dah
Wew kitu chako cha thamani ulicho wai kuhonga ni kipi zaidi ya kununua mtungi wa gesi?
Usiitaje premio kirahisi rahisi tu namna hiyoSiku ukipanda Bentley Mulsane utaiona hio range kama premio.
Manara watu wameomba marinda ya primary skuli 😳Vipi ukiombwa jicho kama Haji?
Happy birthday!Ulivyo na dharau as if wewe hapo unamishe wizarani dah
Wew kitu chako cha thamani ulicho wai kuhonga ni kipi zaidi ya kununua mtungi wa gesi?
BMW x7 au x5 ni shida zaidi ila wabongo range inawachanganyaGuys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
Gari za kimarekani ni Mjapani aliyechangamka sasa chev utasema gari kweliMnachoshindwa kuelewa ni kwamba hiyo range ndio dream car ya mleta mada kwahyo hamna mtakalosema akaona kuna gari nyingine nzuri.
Japo ukweli ni kwamba range sio mbaya ila kuna mashine hiyo range akasome sana. Kuna mnyama now defender escalade chev dodge alaf kuna kifaa cha marekani lincolin aloo gari zake ni mashine za maana japo kibongo bongo kuziona ni nadra