Range Rover liheshimiwe

Toyota lazima auze kwa LC.

Ni gari ambayo ipo tayari kwa mentality ya kila mtu kuanzia serikali mpaka wananchi.

Hata angetoa gari baya vipi, kuuza lazima auze.

Sawa na jezi za Simba, ziwe mbaya vipi ila lazima auze.
 
Lakini toyota TZ hauzi LC peke yake,kuna gari economy anauza,gari za kipato cha kawaida,na hizo bussnes class.

Huku chini ndio balaa.
 
Magari ya kimarekani hasa SUV hayana maajabu sana!

Yanakula sana mafuta, mengi ni V8 Petrol, yanachoka mapema sana.
Likianza kuchoka utalikimbia.

Hayana muonekano mzuri( big for nothing), ila kama mtu unapenda gari yenye space basi suv za kimarekani zitakufaa.
 
Range ni nzuri kimuonekano ila ukija kwenye reliability hamna kitu Ndio maana watu wanayapotezea.
Halafu resale value yake inashuka mapema sana compare to LC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…