Range Rover liheshimiwe

Range Rover liheshimiwe

Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba hiyo range ndio dream car ya mleta mada kwahyo hamna mtakalosema akaona kuna gari nyingine nzuri.

Japo ukweli ni kwamba range sio mbaya ila kuna mashine hiyo range akasome sana. Kuna mnyama now defender escalade chev dodge alaf kuna kifaa cha marekani lincolin aloo gari zake ni mashine za maana japo kibongo bongo kuziona ni nadra
 
Wewe umenielewa sanao
 
Kuna mtifuano umezuka twitter kule.

Kuna mtu analeta ushabiki anapewa fact lakini helewi,kuna range halafu kuna gari linaitwa LC, hapo tunataja V8 zote mpaka hiyo mpya ya V6 2022.kwanza linauzika,pili sio gharama kulimiliki,na linahimiri mazingira yetu ya juakali na barabara za ahadi za uchaguzi.

Hiyo gari kwa namna ilivyopokelewa mtaani ni ishara njema sana kwamba toyota wameupiga mwingi kuanzia serikalini mpaka kwa mabro wenye kiburi hapa nchini.hilo range watu wana uwezo wa kuyanunua lakini wanayapotezea.
 
V8 ni last of my dream car
 
Back
Top Bottom