Range Rover liheshimiwe

Range Rover liheshimiwe

Nimewaza tu kwasababu birthday yangu mtu anaweza amua anizawadie gari na mimi
20230202_141415.jpg
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
Mkuu pole sana,yani inaonyesha wewe ni mtoto wa kike au kama wa kiume basi una walakini mno.

Kwa nn uchague option ya kuambiwa uchague badala ya kutafuta hela ununue mwenyewe.
 
Kuna mtifuano umezuka twitter kule.

Kuna mtu analeta ushabiki anapewa fact lakini helewi,kuna range halafu kuna gari linaitwa LC, hapo tunataja V8 zote mpaka hiyo mpya ya V6 2022.kwanza linauzika,pili sio gharama kulimiliki,na linahimiri mazingira yetu ya juakali na barabara za ahadi za uchaguzi.

Hiyo gari kwa namna ilivyopokelewa mtaani ni ishara njema sana kwamba toyota wameupiga mwingi kuanzia serikalini mpaka kwa mabro wenye kiburi hapa nchini.hilo range watu wana uwezo wa kuyanunua lakini wanayapotezea.
Ebwana mimi napambana nije kuwa mmojawapo wa hao mabro wenye kiburi mjini ila kwa sasa namiliki ist
 
Back
Top Bottom