Nimewaza tu kwasababu birthday yangu mtu anaweza amua anizawadie gari na mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewaza tu kwasababu birthday yangu mtu anaweza amua anizawadie gari na mimi
Naikubali sanaGuys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
Unaona sasa? Vipi rinda limeshindwa kukuletea rangeNgoja niangalie huba kubishana na ww siwezi nisije kukosea heshima na uzee uho
Usiseme ukuambiwa na kaka zako.Hii tamaa ukishindwa kui control utakuja kupumuliwa kimasihara.
Take care.
Na ww uliposema range haina mpinzani kwakua hizo nyengne zote ushaendesha sana ?Kwakuwa unalo na unaendesha sana
Kumbe unaota dogo, duhGuys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
Birthday yako Ni lini? Nibip Kwa 0754515646. Naweza kukupa gari ndogo Kwa kuanzia. UsijaliNimewaza tu kwasababu birthday yangu mtu anaweza amua anizawadie gari na mimi
Waje kukubandua au?Cheki na marafiki zako
Kuna majitu mapumbavu sana hapa duniani. Should be charged to inhale oxygenBirthday yako Ni lini? Nibip Kwa 0754515646. Naweza kukuoa gari ndogo Kwa kuanzia. Usijali
Chuma gxr 2022 hii noma.
Mkuu pole sana,yani inaonyesha wewe ni mtoto wa kike au kama wa kiume basi una walakini mno.Guys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
UzimaUchague gari (range rover) halafu wewe unatoa nn in exchange?
Hii kitu ina heshma ya pekee ukiweza kuwa nayo. Jeep Wrangler!Guys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
Ebwana mimi napambana nije kuwa mmojawapo wa hao mabro wenye kiburi mjini ila kwa sasa namiliki istKuna mtifuano umezuka twitter kule.
Kuna mtu analeta ushabiki anapewa fact lakini helewi,kuna range halafu kuna gari linaitwa LC, hapo tunataja V8 zote mpaka hiyo mpya ya V6 2022.kwanza linauzika,pili sio gharama kulimiliki,na linahimiri mazingira yetu ya juakali na barabara za ahadi za uchaguzi.
Hiyo gari kwa namna ilivyopokelewa mtaani ni ishara njema sana kwamba toyota wameupiga mwingi kuanzia serikalini mpaka kwa mabro wenye kiburi hapa nchini.hilo range watu wana uwezo wa kuyanunua lakini wanayapotezea.