Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha umaku
Noma sana!Kuna mtifuano umezuka twitter kule.
Kuna mtu analeta ushabiki anapewa fact lakini helewi,kuna range halafu kuna gari linaitwa LC, hapo tunataja V8 zote mpaka hiyo mpya ya V6 2022.kwanza linauzika,pili sio gharama kulimiliki,na linahimiri mazingira yetu ya juakali na barabara za ahadi za uchaguzi.
Hiyo gari kwa namna ilivyopokelewa mtaani ni ishara njema sana kwamba toyota wameupiga mwingi kuanzia serikalini mpaka kwa mabro wenye kiburi hapa nchini.hilo range watu wana uwezo wa kuyanunua lakini wanayapotezea.
James Delicious wapo wengi. vijana hawapendi kazi halali. Mimi vijana kama Hawa nawahitaji Sana, Nina kazi ya kuwapa. Napatikana 0754515646Mtoto wa kiume unataka upewe gari siku ya birthday?! Duuh!
Kwanza mwanaume unatoa wapi muda wa kusherekea birthday achilia mbali hayo mawazo ya kutaka kupewa Range Rover?!
Umeongea ukweli nilikuwa nayo moja nimeiuza bei ya chini sanaRange ni nzuri kimuonekano ila ukija kwenye reliability hamna kitu Ndio maana watu wanayapotezea.
Halafu resale value yake inashuka mapema sana compare to LC
40 Anniversary
![]()
![]()
X5,Degender,G wagon Mungu anipe uhaniBMW x7 au x5 ni shida zaidi ila wabongo range inawachanganya
Huyu mwamba wese lake labda uwe unaishi KSA2023 Cadillac EscaladeView attachment 2511402
G Wagon ni gari ambayo ukipita nayo barabarani hata anaeendesha Bentley lazima akuangalie [emoji1]X5,Degender,G wagon Mungu anipe uhani
Kuna gari na kipando!Tofautisha hapo.Kwaiyo hata ROZI ROZI hujaiona?
Sikuzote nakataa hii point ya v8 eti gari inachoka haraka umaskini wetu ndio unasababisha gari kuchoka. Unaposema big for nothing umeziona card chav au lincoln za mwaka jana tu zina vitu standard gari za bongo hazinaMagari ya kimarekani hasa SUV hayana maajabu sana!
Yanakula sana mafuta, mengi ni V8 Petrol, yanachoka mapema sana.
Likianza kuchoka utalikimbia.
Hayana muonekano mzuri( big for nothing), ila kama mtu unapenda gari yenye space basi suv za kimarekani zitakufaa.
Hata huko Ulaya na Marekani hizo Range haziuzwi kama njugu.Lakini toyota TZ hauzi LC peke yake,kuna gari economy anauza,gari za kipato cha kawaida,na hizo bussnes class.
Huku chini ndio balaa.
Sababu ya kupenda Volvo na Audi ni ipi?Umeongea ukweli nilikuwa nayo moja nimeiuza bei ya chini sana
Nimeendesha zote ila niliipenda Autobiography ya Range ni kali sana nilikuwa nampelekea mchezaji mmoja wa Rugby
Wachezaji huwa wanapewa bure ili kuitangaza
Likija suala la SUV napendelea Volvo zaidi na Audi kama Q5 na Q7 lile kubwa
Nimeyaendesha yote yakiwa mapya nikiwapelekea customer wanao test drive
We unaonekana ni unaelekea kuleft group la madume ya mbeguSijasankuhongwa af mimi wakiume zawadi umajua mimi marafiki zangu wako na pesap
Hata huko Ulaya na Marekani hizo Range haziuzwi kama njugu.
Toyota amegusa soko la watu wa chini wasiotaka mambo mengi.
Maelezo ZaidNdiyo maana polisi walivyotaka niwasaidie kusnitch walinipakia kwenye Range. Tulipofika parade nikawageuka kuwa sitambui sura hata ya mualifu mmoja.
Mafundi na bei za spare zake na upatikanaji ni pasua kichwaGuys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car