Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Mkuu acha kabisa kuivunjia Heshima Toyota Land Cruiser linapokuja swala la reliability

Ungeweza kabisa kuisifia hiyo jeep bila kujaribu kuiponda Toyota LC
Toyota LC wanauzia jina?

Hivyo vyeti vyako vya veta visikudanganye mkuu
Na wewe unasumbuliwa ugonjwa wa kuamini na jina kwa historia yake bila kuwa na uhakika wa unalosema. Umeijua Land Cruiser kwa siku nyingi sana tangu Marehemu Lowasa alipopitisha mpango wa kuwa yawe magari ya viongozi wa serikali na wabunge zaidi ya miaka 30 iliyopita umebaki kuamini kuwa Land Cruiser ndiyo kila kitu.

Basi kuanzia leo elewa kuwa kuwa Jeep Grande Cherokee Limited L ya mwaka 2024 ni zaidi ya Land Cruiser. Elewa pia Jeep inapatikana katika model nyingi sana kama vile Cherokee, Grand Cherokee Laredo, Compass, Renegade, Liberty, Wrangler,. Gladiator, Meridian, Commander na kadhalika. Linaloongelewa hapa ni Jeep Grand Cherokee Limited L sIyo Jeep ya aina yoyote.

Kama unadhani leseni yangu ni ya veta, bado kuna independent evaluation niliyoweka hapo huko nyuma sijui pia utaikataa kuwa ni ya veta. Nitaikopi tena hapa kwa faida yako na ya wasomaji wako. jeep hiyo inapata score ya 8.9 wakati Land Cruiser ina score ya 8.7 tu. Kuna sababu kadhaa za kiufundi zinazoifanya jeep iipiku Land Cruiser; mimi nimezungumzia uwepo wa parts za plastic nyingi kwenye land Cruiser ukilinganisha na Jeep. Kama una ujuzi mwingi zaidi ya cheti cha VETA, sema tuongee technical comparison kati ya hayo magari mawili kwa vile mimi nilishayafungua yote na nayajua vizuri sana

1724446563306-png.3077610

1724446638229-png.3077614
 
Habari, mimi sio mwandishi mzuri hivyo naomba penye makosa nivumiliwe.

Rafiki yangu anataka kununua gari ila yupo njia panda hajui achukue ipi kati ya gari hizi mbili.
1. Range Rover Velar
2. Toyota Land Cruiser TX

Kuhusu spare parts sijui mafuta sio shida kwake.

Ila sio mpenzi wa kukaa na gari muda mrefu, je akitaka kuja kuuza Velar ili abadilishe itauzika?

Kwa Wazoefu wa Magari mnamshauri achukue ipi?

View attachment 3073586View attachment 3073587
Huwezi kufananisha Velar na hayo mabati ya kijapan,aachane kabisa na hiyo Prado,Velar ni habari nyingine kabisa kama ana pesa ya kutosha kununua vipuri inapohitajika...
 
Habari, mimi sio mwandishi mzuri hivyo naomba penye makosa nivumiliwe.

Rafiki yangu anataka kununua gari ila yupo njia panda hajui achukue ipi kati ya gari hizi mbili.
1. Range Rover Velar
2. Toyota Land Cruiser TX

Kuhusu spare parts sijui mafuta sio shida kwake.

Ila sio mpenzi wa kukaa na gari muda mrefu, je akitaka kuja kuuza Velar ili abadilishe itauzika?

Kwa Wazoefu wa Magari mnamshauri achukue ipi?

View attachment 3073586View attachment 3073587
TX
 
Na wewe unasumbuliwa ugonjwa wa kuamini na jina kwa historia yake bila kuwa na uhakika wa unalosema. Umeijua Land Cruiser kwa siku nyingi sana tangu Marehemu Lowasa alipopitisha mpango wa kuwa yawe magari ya viongozi wa serikali na wabunge zaidi ya miaka 30 iliyopita unadhani kuwa basi umebaki kuamini kuwa Land Cruiser ndiyo kila kitu.

Basi kuanzia leo elewa kuwa kuwa Jeep Grande Cherokee Limited L ya mwaka 2024 ni zaidi ya Land Cruiser. Elewa pia Jeep inapatikana katika model nyingi sana kama vile Cherokee, Grand Cherokee Laredo, Compass, Renegade, Liberty, Wrangler,. Gladiator, Meridian, Commander na kadhalika. Linaloongelewa hapa ni Jeep Grand Cherokee Limited L sIyo Jeep ya aina yoyote.

Kama unadhani leseni yangu ni ya vet, bado kuna independent evaluation niliyoweka hapo huko nyuma sijui pioa utaikataa kuwa ni ya veta. Nitaikopi tena hapa kwa faid yako na ya wasomaji wako. jeep hiyo inapata score ya 8.9 wakati Land Cruiser ina score ya 8.7 tu. Kuna sababu kadhaa za kiufundi zinazoifanya jeep iipiku Lkand Cruiser; mimi nimezungumzia uwepo wa parts za plastic nyingi kwenye land Cruiser ukilinganisha na Jeep. Kama una ujuzi mwingi zaidi ya cheti cha VETA, sema tuongee technical comparison kati ya hayo magari mawili kwa vile mimi nilishayafungua yote na nayajua vizuri sana

1724446563306-png.3077610

1724446638229-png.3077614
Ukitaka kumalizana na waswahili kwa haraka wewe nenda na data. Wengine humu mawazo yetu yanaendana na uchumi wetu mfukoni.
 
Narudia tena kwa herufi kubwa
UNAWEZA KUISIFIA GARI YOYOTE ILE BILA KUIPONDA TLC KWENYE SWALA LA RELIABILITY

Mkuu BRAND ya kitu kwenye dunia ya leo italindwa na ku survive kwa UBORA WAKE TU na sio jina
TLC sio Tz tu....

Usidhani simu za Iphone au Samsung ziko pale kwa bahati mbaya
Usidhani Pc za Mac Samsung Dell and the co zipo pale bahati mbaya

Kuna magari mengi BORA sana kuliko TLC
Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba TLC ni moja ya magari bora kabisa duniani

Ubora wa gari hautokani na wingi wa vyuma au plastic........ magari ya zamani yalikua vyuma vitupu lakini hayawezi kuwa bora kama ya sasa yenye kila aina ya materials

Hivi iphone aki score reviews high kuliko Samsung ndio itafanya Samsung ni simu mbovu au vise versa?
Unaposhindanisha vitu BORA lazima uta chagua kimoja lakini haiondoi ukweli kwamba vyote ni bora

Sipo hapa kusema Jeep ni gari mbovu au kusema TLC ni gari bora kuliko zote
Nipo hapa kukukosoa unaposema TLC hamna kitu bali anauzia jina tu
 
Unachoonekana kulewa hapa ni brand name tu, lakini huna technical facts za kutetea hoja yako.

Kwa mfano, je unatumia metric gani wewe kupima reliability Toyota Land Cruiser kama siyo imani yako ya siku nyingu tu.
 
Mkuu mimi sio mtaalam wa magari, na kwa ubush lawyer wangu Ninachojua kuhusu RELIABILITY na DURABILITY ya Toyota Land Cruiser ni hiki

Pamoja na kuwa ni mojawapo ya gari zenye bei kubwa za Jamii yake

Toyota Land cruise ndio gari pekee ambayo ni Official government cars kwenye nchi nyingi zaidi ikiwemo Tz

Toyota Land Cruiser na Hilux ndio gari pekee za kiraia zinazo tumika zaidi vitani

Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi na UN na Organization zake zote kwenye mission zake zote duniani kwenye maeneo yenye miundombinu korofi.
Ikiwemo EU, Ngo’s nk

Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi kwenye site za machimbo mbali mbali ya madini duniani kuliko gari yoyote ile

Toyota Land Cruiser ndio gari chaguo namba moja kwenye karibia maeneo yote korofi kimiundo mbinu kama Africa, Asia, Middle east, Amerika kusini, Australia nk

Toyota Land Cruiser licha ya bei zake ndiyo gari imeuza units nyingi zaidi duniani kuliko magari yote ya jamii yake

The list is endless.......

Hayo yote hayajatokea kwa sababu ya jina tu mkuu.
Strength namba moja ya Toyota Land Cruiser ni RELIABILITY na DURABILITY......

Sasa mkuu kama wewe kwa vyeti vyako unaona TLC ni gari inayo uzia jina tu basi ntalazimika kuheshimu mawazo yako pia

Hoja yangu ni kutokubaliana na wewe kwamba eti TLC inauzia Brand na sio ubora
Unaweza kuisifia gari yoyote ile bila kujaribu kuponda credibility ya TLC
 
Nimependa argument yako hapa nadhani kila mtu a aki na anacho kiamini,maana kwa hoja zako ni kweli toyota LC ni namba 1,ingekuwa famba isingetamba kwenye maeneo hayo😀😀😀 over
 
Mkuu mimi sio mtaalam wa magari, na kwa ubush lawyer wangu Ninachojua kuhusu RELIABILITY na DURABILITY ya Toyota Land Cruiser ni hiki

Pamoja na kuwa ni mojawapo ya gari zenye bei kubwa za Jamii yake

Toyota Land cruise ndio gari pekee ambayo ni Official government cars kwenye nchi nyingi zaidi ikiwemo Tz

Toyota Land Cruiser na Hilux ndio gari pekee za kiraia zinazo tumika zaidi vitani

Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi na UN na Organization zake zote kwenye mission zake zote duniani kwenye maeneo yenye miundombinu korofi.
Ikiwemo EU, Ngo’s nk

Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi kwenye site za machimbo mbali mbali ya madini duniani kuliko gari yoyote ile

Toyota Land Cruiser ndio gari chaguo namba moja kwenye karibia maeneo yote korofi kimiundo mbinu kama Africa, Asia, Middle east, Amerika kusini, Australia nk

Toyota Land Cruiser licha ya bei zake ndiyo gari imeuza units nyingi zaidi duniani kuliko magari yote ya jamii yake

The list is endless.......

Hayo yote hayajatokea kwa sababu ya jina tu mkuu.
Strength namba moja ya Toyota Land Cruiser ni RELIABILITY na DURABILITY......

Sasa mkuu kama wewe kwa vyeti vyako unaona TLC ni gari inayo uzia jina tu basi ntalazimika kuheshimu mawazo yako pia

Hoja yangu ni kutokubaliana na wewe kwamba eti TLC inauzia Brand na sio ubora
Unaweza kuisifia gari yoyote ile bila kujaribu kuponda credibility ya TLC
Umeua mkuu
 
Kichuguu gari unazijua hongera sana manaa umekuja na mguu wa Jeep ambao watu wengi hawana hongera sana sikutegemea kabisa na ulichoongea upo sahihi Jeep ni gari toafuti sana hizi gari wanazielewa Wakongoman na Wazambia sisi kinatotushinda ni kodi kubwa na parts zake ingawaje jamaa magari yao yanapita hapa kwetu ila ndio watumiaji wa gari nzuri kuliko sisi..
JEEP ni gari aisee..
 
Mkuu mimi sio mtaalam wa magari, na kwa ubush lawyer wangu Ninachojua kuhusu RELIABILITY na DURABILITY ya Toyota Land Cruiser ni hiki

Pamoja na kuwa ni mojawapo ya gari zenye bei kubwa za Jamii yake

Toyota Land cruise ndio gari pekee ambayo ni Official government cars kwenye nchi nyingi zaidi ikiwemo Tz

Toyota Land Cruiser na Hilux ndio gari pekee za kiraia zinazo tumika zaidi vitani

Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi na UN na Organization zake zote kwenye mission zake zote duniani kwenye maeneo yenye miundombinu korofi.
Ikiwemo EU, Ngo’s nk

Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi kwenye site za machimbo mbali mbali ya madini duniani kuliko gari yoyote ile

Toyota Land Cruiser ndio gari chaguo namba moja kwenye karibia maeneo yote korofi kimiundo mbinu kama Africa, Asia, Middle east, Amerika kusini, Australia nk

Toyota Land Cruiser licha ya bei zake ndiyo gari imeuza units nyingi zaidi duniani kuliko magari yote ya jamii yake

The list is endless.......

Hayo yote hayajatokea kwa sababu ya jina tu mkuu.
Strength namba moja ya Toyota Land Cruiser ni RELIABILITY na DURABILITY......

Sasa mkuu kama wewe kwa vyeti vyako unaona TLC ni gari inayo uzia jina tu basi ntalazimika kuheshimu mawazo yako pia

Hoja yangu ni kutokubaliana na wewe kwamba eti TLC inauzia Brand na sio ubora
Unaweza kuisifia gari yoyote ile bila kujaribu kuponda credibility ya TLC
Mkuu umetumia silaha nzito sana kwa vita ndogo😀
 
Inawezekana wote mna hoja za msingi isipokuwa mnatofautiana kwenye mlengo wa hoja zenu kwa jinsi mnavyolitazama jambo.........

Nadhani bwana Kichuguu kama sijakosea alizungumza katika jicho la kiufundi kama ushauri akichambua parts na mengineyo ingawa alitumia lugha kali kidogo katika kukazia ushauri wake lakini alieleweka vyema.......

Na wewe pia kwa mujibu wa comments zako hoja zako zimesimamia kwenye common sense na experience yako iwe Kwa kuona, kuendesha au kushuhudia utendaji kazi wake wa hivyo vifaa tajwa.....na hoja zako pia zina make sense kwani umetoa mifano hai juu ya watu na taasisi mbali mbali zinazotumia magari hayo....ingawa wakati mwingine kwenye ulimwengu wa biashara uamuzi wa kununua unaweza kuwa zaidi ya hayo........

Mimi nadhani mjadala umeenda vizuri isipokuwa mmepishana padogo kama fundi na mtumiaji naamini wote mpo sahihi.........
 
Mkuu mimi sio mtaalam wa magari, na kwa ubush lawyer wangu Ninachojua kuhusu RELIABILITY na DURABILITY ya Toyota Land Cruiser ni hiki

Pamoja na kuwa ni mojawapo ya gari zenye bei kubwa za Jamii yake

Toyota Land cruise ndio gari pekee ambayo ni Official government cars kwenye nchi nyingi zaidi ikiwemo Tz

Toyota Land Cruiser na Hilux ndio gari pekee za kiraia zinazo tumika zaidi vitani

Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi na UN na Organization zake zote kwenye mission zake zote duniani kwenye maeneo yenye miundombinu korofi.
Ikiwemo EU, Ngo’s nk

Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi kwenye site za machimbo mbali mbali ya madini duniani kuliko gari yoyote ile

Toyota Land Cruiser ndio gari chaguo namba moja kwenye karibia maeneo yote korofi kimiundo mbinu kama Africa, Asia, Middle east, Amerika kusini, Australia nk

Toyota Land Cruiser licha ya bei zake ndiyo gari imeuza units nyingi zaidi duniani kuliko magari yote ya jamii yake

The list is endless.......

Hayo yote hayajatokea kwa sababu ya jina tu mkuu.
Strength namba moja ya Toyota Land Cruiser ni RELIABILITY na DURABILITY......

Sasa mkuu kama wewe kwa vyeti vyako unaona TLC ni gari inayo uzia jina tu basi ntalazimika kuheshimu mawazo yako pia

Hoja yangu ni kutokubaliana na wewe kwamba eti TLC inauzia Brand na sio ubora
Unaweza kuisifia gari yoyote ile bila kujaribu kuponda credibility ya TLC
Ninaelewa arguments zako za uzoefu, ila kuna mambo ambayo pia hujaweka kuweza kusema kwa nini Toyota Land Cruiser zinatumika sana kama official cars katika nchi za kiafrika (siyo nchi nyingi duniani bali ni Afrika tu); siyo reliabiliy kwani hakuna metric iliyotumiwa kwa mfano na serikali ya Tanzania kuachana na Landrover pamoja na Nissan Patrol ambazo zilikuwa na technicial features zinazolingana na pia bei ikiwa ya chini, bali wakachukua Land Cruiser ambayo bei yake ilikuwa ya juu; marehemu Lowassa angekuwapo, angetuambia hilo.

Kuhusu maeneo korofi, basi hujui kuwa Jeep ilitengezwa kwa mara ya kwanza kabisa kwa ajili ya matumizi ya kivita wakati wa vita ya kwanza ya dunia. Lilikuwa gari la kijeshi kabla ya kufanywa la kiraia. Hakuna eneo korofi ambako jeep ya aina yoyote ile itashindwa leo. Kama unaijua gari inayoitwa Hummer, basi elewa kuwa hiyo ni offspring ya Jeep baada ya jeep zile za kijeshi kubadilishwa design na kuitwa Humvee na Hummer ikatokea huko.

UN Kutumia magari ya Land Cruiser hutokana na serviceability ya magari hayo kwenye meneo husika. UN hutumia gari yoyote inayoweza kuwa serviced kwa urahsi huko inakotumika.

Argument yako ya Reliability na durability ya Land Cruiser inawezekana kuwa ni sahihi historically ila kwa sasa hivi tuaongelea mwaka 2024 na tunaipambanisha na Jeep Grand Cherokee Limited L la mwaka huu 2024.
 
Nimeona baadhi ya comments za ndugu zetu kadhaa humu kama ambavyo inajulikana kwenye wengi pana mengi lakini katikati ya comments zao kumebeba ujumbe kuwa watu wanapitia nyakati ngumu mpaka hawaamini baraka na neema za wengine mwisho wanakuwa bitter na mafanikio ya watu......

Mola mlezi atufanyie wepesi na sisi tupate matulizo ya nafsi zetu kwa kile tutakachojaaliwa.........
 
Back
Top Bottom