Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Ninaelewa arguments zako za uzoefu, ila kuna mambo ambayo pia hujaweka kuweza kusema kwa nini Toyota Land Cruiser zinatumika sana kama official cars katika nchi za kiafrika (siyo nchi nyingi duniani bali ni Afrika tu); siyo reliabiliy kwani hakuna metric iliyotumiwa kwa mfano na serikali ya Tanzania kuachana na Landrover pamoja na Nissan Patrol ambazo zilikuwa na technicial features zinazolingana na pia bei ikiwa ya chini, bali wakachukua Land Cruiser ambayo bei yake ilikuwa ya juu; marehemu Lowassa angekuwapo, angetuambia hilo.

Kuhusu maeneo korofi, basi hujui kuwa Jeep ilitengezwa kwa mara ya kwanza kabisa kwa ajili ya matumizi ya kivita wakati wa vita ya kwanza ya dunia. Lilikuwa gari la kijeshi kabla ya kufanywa la kiraia. Hakuna eneo korofi ambako jeep ya aina yoyote ile itashindwa leo. Kama unaijua gari inayoitwa Hummer, basi elewa kuwa hiyo ni offspring ya Jeep baada ya jeep zile za kijeshi kubadilishwa design na kuitwa Humvee na Hummer ikatokea huko.

UN Kutumia magari ya Land Cruiser hutokana na serviceability ya magari hayo kwenye meneo husika. UN hutumia gari yoyote inayoweza kuwa serviced kwa urahsi huko inakotumika.

Argument yako ya Reliability na durability ya Land Cruiser inawezekana kuwa ni sahihi historically ila kwa sasa hivi tuaongelea mwaka 2024 na tunaipambanisha na Jeep Grand Cherokee Limited L la mwaka huu 2024.
Mkuu labda hatujaelewana argument yangu ni nini
Mimi sijaishindanisha TLC Vs Jeep....... HAPANA
Mimi nime argue uliposema TLC sio magari mazuri ila yanauzia jina tu(Hapa unakua unamvunjia heshima mjapani)

Mkuu naiheshimu sana JEEP, hiyo ndio nembo ya ubora wa off road za magari ya USA

Kimsingi Land Cruiser ni matokeo ya Jeep
Wakati wa vita ya pili ya Dunia Wajapani walipoanza kupiga na kuteka kambi za USA na washirika wake walikamata na gari za Jeep(Willys MB) za kivita enzi hizo.
Emperor wa japan alipoziona akatoa order gari zipelekwe Toyota watengeneze gari kama hiyo kwa sababu ya uwezo wake mkubwa kuhimili kazi na njia mbovu
Na baada ya vita kwisha Toyota wakaendelea kuzalisha kibiashara hadi tunavyo ziona leo kwa ufanisi mkubwa

So ukiniuliza leo hii kati ya TLC na Jeep Grand Cherokee ipi ni zaidi basi nitachagua Jeep....... lakini hiyo haifanyi kwamba Toyota Land Cruiser ni gari mbovu zinazo uzia jina

Hata ikiwa Messi atakua bora kuliko Ronaldo hakufanyi kuwa Ronaldo ni mchezaji mbaya

Issue ni kwamba umeshindanisha vitu BORA kabisa viwili

BTW ulikua mjadala mzuri sana 🙏
 
Nimeona baadhi ya comments za ndugu zetu kadhaa humu kama ambavyo inajulikana kwenye wengi pana mengi lakini katikati ya comments zao kumebeba ujumbe kuwa watu wanapitia nyakati ngumu mpaka hawaamini baraka na neema za wengine mwisho wanakuwa bitter na mafanikio ya watu......

Mola mlezi atufanyie wepesi na sisi tupate matulizo ya nafsi zetu kwa kile tutakachojaaliwa.........
Ni watu wachache wenye moyo kama wako, Mungu akabariki kila hitaji lako na maombi yako akakupe mema kama moyo wako ulivyo mwema.
 
Mkuu labda hatujaelewana argument yangu ni nini
Mimi sijaishindanisha TLC Vs Jeep....... HAPANA
Mimi nime argue uliposema TLC sio magari mazuri ila yanauzia jina tu(Hapa unakua unamvunjia heshima mjapani)

Mkuu naiheshimu sana JEEP, hiyo ndio nembo ya ubora wa off road za magari ya USA

Kimsingi Land Cruiser ni matokeo ya Jeep
Wakati wa vita ya pili ya Dunia Wajapani walipoanza kupiga na kuteka kambi za USA na washirika wake walikamata na gari za Jeep(Willys MB) za kivita enzi hizo.
Emperor wa japan alipoziona akatoa order gari zipelekwe Toyota watengeneze gari kama hiyo kwa sababu ya uwezo wake mkubwa kuhimili kazi na njia mbovu
Na baada ya vita kwisha Toyota wakaendelea kuzalisha kibiashara hadi tunavyo ziona leo kwa ufanisi mkubwa

So ukiniuliza leo hii kati ya TLC na Jeep Grand Cherokee ipi ni zaidi basi nitachagua Jeep....... lakini hiyo haifanyi kwamba Toyota Land Cruiser ni gari mbovu zinazo uzia jina

Hata ikiwa Messi atakua bora kuliko Ronaldo hakufanyi kuwa Ronaldo ni mchezaji mbaya

Issue ni kwamba umeshindanisha vitu BORA kabisa viwili

BTW ulikua mjadala mzuri sana 🙏
Uko sahihi sana. Binafsi siwezi kuongelea au kufanansha nini ni bora zaido kati ya LC na Jeep. Ila siwezi kumuamini mtu yoyote atakeyesema leo kwamba Toyota anauzia jina tu, ni kuitukana.
Toyota ana track record ya reliability (sio mwaka huu mmoja tu wa 2024 ambao huyu bwana anatumia kufananisha haya magari). Hii ndo sababu inaaminika sana, pengine kuliko nyingine yoyote.
Na katika brands ambazo Toyota hajawahi kukosea na zimempa heshima ni Landcruiser na ndugu yake Lexus.
Let's be honest hapa, kama focus ni muonekano na luxury, basi RR ni zaidi. Ila kama focus ni functionality na reliability, Toyota LC anashinda mapema tu. So inategemea mtu anataka nini kwenye gari.
Watu wanasahau kuwa Toyota kuwa simple hivyo ilivyo ndo inaifanya iwe reliable na rahisi kutengeneza.
 
Magari ya Toyota ni mazuri kama magari mengine isipokuwa argument yangu hapa ni kuwa bei ya Land Cruiser ni kubwa zaidi ya value yake; hiyo ni kwa sababu ya jina tu siyo kwa sababu ya reliability.

Reliability siyo kitu permanent; usisema tu kuwa Toyota ina track record ya reliability kwa miaka mingi hivyo ni bora sana. Hata Sony na Panasonic walikuwa na track record nzuri sana ya ubora wa bidhaa za electronics miaka ya zamani lakini hali siyo hivyo leo, wanapitwa mbali sana na Samsung ingawa Sony imeanza kuamka tena lakini bado haiwezi kuifikia Samsung.
 
Magari ya Toyota ni mazuri kama magari mengine isipokuwa argument yangu hapa ni kuwa bei ya Land Cruiser ni kubwa zaidi ya value yake; hiyo ni kwa sababu ya jina tu siyo kwa sababu ya reliability.

Reliability siyo kitu permanent; usisema tu kuwa Toyota ina track record ya reliability kwa miaka mingi hivyo ni bora sana. Hata Sony na Panasonic walikuwa na track record nzuri sana ya ubora wa bidhaa za electronics miaka ya zamani lakini hali siyo hivyo leo, wanapitwa mbali sana na
Unaweza kutumia lugha uliyotumia kuhusu bei ya Toyota. Ila ukiniuliza nitasema inauzwa ghali kwa sababu ya proven reliability yake. Au kwa lugha nyingine, Jina kubwa la Toyota ni kwa sababu ya reliability yake. Ukiingia hata mitandaoni na data utagundua tu kuwa RR, BMW hazisifiki kwa reliability, ila jina lake lina ishara ya luxury na status na features

In the long run, mwenye Toyota atatumia gharama ndogo kufanya repairs na maintenance ulinganisha na RR kwa mfano au brand karibia zote za Europe na Asia. So inaeleweka kwa nini bei zake ziko juu. Jiulize kwa nini hata Prado used ina bei kubwa kuliko RR yenye same mileage, ingawa zikiwa mpya RR ina bei zaidi?!

Reliability sio permanent, lakini nani anaweza kuprove kwamba Toyota si reliable tena??
 
Ubishi wote huu umekuja kutokana na comparison kati ya Jeep Grand Cherokee Limited L ya 2024 na Toyota Land Cruiser pia ya mwaka 2024. Arguments zenu mnaotetea Toyota landcruiser mnatumia historical experience wakati mimi ninazungumza technical comparison ya magari hayo mawili baada ya kufungua injini zake na kuzikagua. Sikusema Jeep Yoyote dhidi ya Landcruiser yoyote bali ni hizo model mbili tu.

Tulifundishwa kuwa avumaye baharini papa lakini wengine pia wapo. Ni vigumu kwa mliozowea Land Cruiser kuamini kuwa kuna magari bora zaid yake na yanauzwa bei nafuu kuliko hiyo Land Cruiser. Proven record siyo value
 
Mkuu kila kampuni kupitia magari yake wanakua na strength zao, wengine ni luxury, classic nk

Strength ya Toyota dhidi ya SUV zingine zote ni Reliability na durability, huwezi kuitenganisha Land Cruiser na ukweli huu

Inawezekana hiyo Jeep Grand Cherokee 2024 ikawa ni bora lakini tambua kwamba Land Cruiser is already there since way back kitambo
Ukisema ufanye Tech comparison utakuta mara zote Land Cruiser inashindwa score na SUV nyingi sana kwasababu yeye anachojali ni Reliability kwanza
Utakuta akina Range Rover wana score nzuri sana kwasababu gari zinawekewa mikogo zinakua kama ndege za chini but not reliable like Land Cruiser

Nikikwambia unitajie ubora wa hiyo Jeep utadonoa donoa area ambazo has nothing to do with Reliability and durability

Kingine ni kwamba Land Cruiser is very expensive lakini ni less cheap kui maintain kuliko hao akina Jeep, Ranger, Benz nk
Ipo very simple ukilinganisha na SUV zingine

Kama wewe ni mtaalamu wa magari nadhani utakua unajua kwamba Toyota Land Cruiser ndio SUV pekee imekua engineered kutumika kwa miaka 25 tofauti na gari nyingi ambazo zinakwenda miaka 15 kushuka chini

Ni dhambi kubwa kudhania Toyota Land Cruiser inauzia jina mkuu
 
Jeep moja ilisukumwa mlimani na wauaji waliowau watu wawili huko Ruvuma kwenye mlima ilienda mpaka chini wao bila kupinduka walitegemea ile gari itadondoka kwa kuwa haina dereva ndio polisi walianza uchunguzi na kugundua kumbe wale jamaa waliuawa hiyo milima mikubwa ya Njombe/Ruvuma hivyo ndio vipimo pia vya magari bora yanayoweza kuwakinga walio ndani.
 
Hivi umeongea nini yaani Mercedes Benz G wagon ufananishe na Land Cruiser hizi gari mnazozizungumzia mnazijua kweli au mimi sijaelewa Mercedes G wagon ufananishe na LC tena unasema imezidiwa?.
Jamaa analinganisha LC ya $60,000 na kitu cha $150, 000😹. Halafu eti anasema Velar is the best LR model. Hajui kuna kitu Westminster
 
Nikupe ushauri Mkuu, usimjaji mtu.

Sababu baadhi yenu wachache mmeongea hili acha nielezee kidogo.

Kwanza ananunuliwa na Mumewe na sio gari ya kwanza.

Alianza na PREMIO, akaja Vanguard, ikaja tako la nyani now ana Harrier Anaconda.

Katika gari zote hizo hamna aliekaa nayo miaka miwili.

Why kauliza??? Mume wake kamshauri amnunulie Prado yeye anapenda Velar, Mumewe akamuambia sababu mkewe sio mkaaji wa magari atampa tabu akitaka uza haitouzika kwa haraka kama Prado na Mume sio mpenzi wa Range

Licha ya kununuliwa na Mume hata Mke akiamua ajinunulie uwezo anao hayupo kinyonge pia.

pia mhusika hajaja humu kuuliza ni mimi nilietaka kusikia maoni ya watu ili nimshauri vizuri.

Tuacheni makasirikio Watanzania mnapenda habari za huzuni na kimaskini, sijui kwanini tuna kijiba cha roho na mafanikio ya watu
Mtu atoke kwenye vanguard aende kwenye harrier yako la nyani?
Umetupiga hapa
 
Mtu atoke kwenye vanguard aende kwenye harrier yako la nyani?
Umetupiga hapa
Cha ajabu ni nini mkuu? Whether hiyo story ni kweli au si kweli, kuhama kama anavyosema inawezekana kabisa. Ni magari mawili tofauti, hasa kwa sura. Niliwahi hama kutoka kwenye mark II (nzima kabisa) kwenda kwenye Passo, na ilikuwa ni maamuzi yangu. Huwa sikai na gari muda mrefu pia, so hata passo aikukaa nayo sana. Ukiwa unapenda kubadili magari utaelewa hicho kitu
 
Hivi umeongea nini yaani Mercedes Benz G wagon ufananishe na Land Cruiser hizi gari mnazozizungumzia mnazijua kweli au mimi sijaelewa Mercedes G wagon ufananishe na LC tena unasema imezidiwa?.
Kwenye Reliability Yes

Hizo Benz utakuta zinaendeshwa na ma celebrities na watu wenye hela zao kwenda kula bata
Land Cruiser utaikuta kwa watu wa kazi wanafurugana na kila aina ya barabara chaka to chaka pori to pori
 
Njoo SA uone hizo gari zinaenda huko Mpumalanga hizo Hilux za 2023 wanaweka inavuta gari bara barani yaani gari ya gharama hivyo iwe laini tutumie hata akili kidogo mkuu mimi nahusika na LC ila hizo Mercedes na mjomba ake Range rover ziache kabisaa..unajua Tanzania hatutumii gari harafu tupo busy kuponda vitu tusivyotumia angalia hao Wazambia vitu wanavyosukuma harafu uje hapa na mashambani wanavitumia.
 
Mercedes G wagon ni zaidi ya Usd 500,000 mzee.
Bei zenu za kibongo za kukomoana mkuu, average price in US ni around $150000

1725285871019.png
 
Hivi umeongea nini yaani Mercedes Benz G wagon ufananishe na Land Cruiser hizi gari mnazozizungumzia mnazijua kweli au mimi sijaelewa Mercedes G wagon ufananishe na LC tena unasema imezidiwa?.
Shida ni kwamba mnasahau watu wengi (watanzania) wanahukumu magari kutokana na mazingira yetu na hali za kiuchumi. Sisemi kuwa technically, LC is better than G Wagon, ila kwa mazingira ya kiuchumi na mafundi na vitu kama hivyo, kama hizo gari zinauzwa bei zinazolingana, ningemshauri mtu achukue LC (esp kama hana uwezo mkubwa wa kuishi na Benz). Hii ndo inachangia watu kusema hizi non-Japanese cars sio reliable au si bora kama Japanese.
Its somehow subjective ingawa technically kuna ukweli kwamba hata kama una hela, reliability iko juu kwa gari za kijapani kuliko European, kwa sababu ziko less sophisticated
 
Mimi nimetumia disco 3,Isuzu Kb,Honda Balade,Ford Bantam,BMW,Mercedes-Benz,Toyota Hilux na sasa hivi nipo na Ford ranger huko huko Tanzania siulizi wasiojua magari nachofanya ni kuchukua gari za miaka ya karibuni na zinadumu mno nishawahi kununua Ford bantam ya 2006 mwaka 2012 mpaka leo ipo kwenye familia na leo mtu mmoja ananipigia simu anakitaka Kigali kama kile nimpe hesabu ya kufika huko...gari nimeanza kutumia 2012 mpaka hii 2024 nimebadili power sterling tu na seal zake...
Shida yenu mshakaririshwa uongo kuhusu magari na mnaenda nayo hivyo hivyo mimi nishawahi aribikiwa nikiwa na Mercedes-Benz ishu ya mafuta machafu aliejua tatizo ni Fundi mtoto hapo msata usiku nikiwa safari ya Arusha na mpaka kesho nawasiliana nae mafundi wa Tanzania wengi ni vipaji sana na pia ili umjue fundi na wewe pia unatakiwa uwe na idea ya magari...
 
Back
Top Bottom