mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Bro inawezekana unajua na unamiliki magari lakini si peke yako mwenye uzoefu nayo. Hata mimi natumia mercedes na nishatumia suzuki, toyota na natumia na nissan patrol pia (tena za zamani tu). Kwenye family tumeshatumia range rover (1998), iliuzwa kama miaka 10 iliyopita.Mimi nimetumia disco 3,Isuzu Kb,Honda Balade,Ford Bantam,BMW,Mercedes-Benz,Toyota Hilux na sasa hivi nipo na Ford ranger huko huko Tanzania siulizi wasiojua magari nachofanya ni kuchukua gari za miaka ya karibuni na zinadumu mno nishawahi kununua Ford bantam ya 2006 mwaka 2012 mpaka leo ipo kwenye familia na leo mtu mmoja ananipigia simu anakitaka Kigali kama kile nimpe hesabu ya kufika huko...gari nimeanza kutumia 2012 mpaka hii 2024 nimebadili power sterling tu na seal zake...
Shida yenu mshakaririshwa uongo kuhusu magari na mnaenda nayo hivyo hivyo mimi nishawahi aribikiwa nikiwa na Mercedes-Benz ishu ya mafuta machafu aliejua tatizo ni Fundi mtoto hapo msata usiku nikiwa safari ya Arusha na mpaka kesho nawasiliana nae mafundi wa Tanzania wengi ni vipaji sana na pia ili umjue fundi na wewe pia unatakiwa uwe na idea ya magari...
Point yangu kusema haya yote ni kwamba SIJAKARIRISHWAA kama unavyosema. I read, i talk to people na hata mafundi wanaozitengeneza hizo gari, na si wa chini ya mwembe. Gari zina pros na cons.
Kumbuka uchumi wa watu wengi TZ si huo unaosema wewe unao. Si watu wengi bongo wama uwezo wa kumudu gari yenye chini ya miaka 5.
Watu unaowasisitiza wanunue magari mapya wengi hawako bongo hii.Wengi, huku tunamudu magari yenye miaka 10 au zaidi. So wengi hata wakilinganisha bei, maintenance costs, wanamaanisha magari ya aina hii. Toyota na japanese cars nyingi hazitakupa matatizo hata ukiiukuta ya umri huu. Tuzungumze kwenye perspective hii