Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Mimi nimetumia disco 3,Isuzu Kb,Honda Balade,Ford Bantam,BMW,Mercedes-Benz,Toyota Hilux na sasa hivi nipo na Ford ranger huko huko Tanzania siulizi wasiojua magari nachofanya ni kuchukua gari za miaka ya karibuni na zinadumu mno nishawahi kununua Ford bantam ya 2006 mwaka 2012 mpaka leo ipo kwenye familia na leo mtu mmoja ananipigia simu anakitaka Kigali kama kile nimpe hesabu ya kufika huko...gari nimeanza kutumia 2012 mpaka hii 2024 nimebadili power sterling tu na seal zake...
Shida yenu mshakaririshwa uongo kuhusu magari na mnaenda nayo hivyo hivyo mimi nishawahi aribikiwa nikiwa na Mercedes-Benz ishu ya mafuta machafu aliejua tatizo ni Fundi mtoto hapo msata usiku nikiwa safari ya Arusha na mpaka kesho nawasiliana nae mafundi wa Tanzania wengi ni vipaji sana na pia ili umjue fundi na wewe pia unatakiwa uwe na idea ya magari...
Bro inawezekana unajua na unamiliki magari lakini si peke yako mwenye uzoefu nayo. Hata mimi natumia mercedes na nishatumia suzuki, toyota na natumia na nissan patrol pia (tena za zamani tu). Kwenye family tumeshatumia range rover (1998), iliuzwa kama miaka 10 iliyopita.
Point yangu kusema haya yote ni kwamba SIJAKARIRISHWAA kama unavyosema. I read, i talk to people na hata mafundi wanaozitengeneza hizo gari, na si wa chini ya mwembe. Gari zina pros na cons.
Kumbuka uchumi wa watu wengi TZ si huo unaosema wewe unao. Si watu wengi bongo wama uwezo wa kumudu gari yenye chini ya miaka 5.
Watu unaowasisitiza wanunue magari mapya wengi hawako bongo hii.Wengi, huku tunamudu magari yenye miaka 10 au zaidi. So wengi hata wakilinganisha bei, maintenance costs, wanamaanisha magari ya aina hii. Toyota na japanese cars nyingi hazitakupa matatizo hata ukiiukuta ya umri huu. Tuzungumze kwenye perspective hii
 
Mtu atoke kwenye vanguard aende kwenye harrier yako la nyani?
Umetupiga hapa
Yaani kuna watu sijui ni ushamba au umaskini unaowasumbua upo Dodoma nikupe uthibitisho nyau wewe?? Kama upo niPM then itakua mwisho wa kuja kunibishia!!

Unaona ajabu nini? Yaani nije kudanganya humu nahitaji nini kwa mfano? Hivi mnatuona watu maskini sana ehee??

Je ningesema nnaenunuliwa ni mimi si mngeniua humu kwa maneno!???

Haya beba mimba kama mimi na wewe ununuliwe Velar kama push gift mpxiuuu!!!!
 
Bro inawezekana unajua na unamiliki magari lakini si peke yako mwenye uzoefu nayo. Hata mimi natumia mercedes na nishatumia suzuki, toyota na natumia na nissan patrol pia (tena za zamani tu). Kwenye family tumeshatumia range rover (1998), iliuzwa kama miaka 10 iliyopita.
Point yangu kusema haya yote ni kwamba SIJAKARIRISHWAA kama unavyosema. I read, i talk to people na hata mafundi wanaozitengeneza hizo gari, na si wa chini ya mwembe. Gari zina pros na cons.
Kumbuka uchumi wa watu wengi TZ si huo unaosema wewe unao. Si watu wengi bongo wama uwezo wa kumudu gari yenye chini ya miaka 5.
Watu unaowasisitiza wanunue magari mapya wengi hawako bongo hii.Wengi, huku tunamudu magari yenye miaka 10 au zaidi. So wengi hata wakilinganisha bei, maintenance costs, wanamaanisha magari ya aina hii. Toyota na japanese cars nyingi hazitakupa matatizo hata ukiiukuta ya umri huu. Tuzungumze kwenye perspective hii
Wabongo wananunua Rav 4 bei kubwa sana hizo bei wanazonunua hizo Rav 4 kwa 40m mpaka 60m mimi nanunua Vw ya 2024...ni kwamba hawana taarifa wapi wapate magari sahihi kwa bei nzuri pana ndugu yangu alinunua Mercedes-Benz ya mwaka 2013 imefika kwa 80m wakati hiyo pesa mini napata ya 2024 used..huku hatutumii pesa nyingi kupata gari nzuri kwa sababu ya taarifa sahihi za magari..mkiambiwa kama hivi ni ubishi ubishi tu na kujifanya kuponda panda na hamtaki kujifunza..
 
Point, wengi hatuna taarifa sahihi tushakariri kuagiza Japan basi.
 
Mimi naleta magari Tanzania kila mwezi harafu mtu unampa taarifa sahihi ambazo wengine hawawezi kukuambia mtu anataka tubishane Wakenya na waganda ukiwapa hizi taarifa wanazifanyia kazi badala ya kuleta ujuaji kwa vitu wasivyovijua...
 
Wabongo wananunua Rav 4 bei kubwa sana hizo bei wanazonunua hizo Rav 4 kwa 40m mpaka 60m mimi nanunua Vw ya 2024...ni kwamba hawana taarifa wapi wapate magari sahihi kwa bei nzuri pana ndugu yangu alinunua Mercedes-Benz ya mwaka 2013 imefika kwa 80m wakati hiyo pesa mini napata ya 2024 used..huku hatutumii pesa nyingi kupata gari nzuri kwa sababu ya taarifa sahihi za magari..mkiambiwa kama hivi ni ubishi ubishi tu na kujifanya kuponda panda na hamtaki kujifunza..
Mkuu, wewe watu wanaulizaga bei za magari huku husemi. Toa hata link ya VW tiguan (SUV kama Rav 4) ya 2024 ya mil 40-60. Na kama zitakuwepo, ni ngapi? Na vipi maintenance costs mtu aiikaa nayo miaka 5-10?!.
Hata hivyo tumeshajenga hoja sana kwa nini toyota inauzwa ghali. So kwa sababu ya features zake au comfort au safety features, ni reliability na urahisi wa maintenance. Kwa hiyo wanaoamua kununua hizo kwa bei ya juu wamechagua hayo. Huna haja ya kusimanga wengine kila saa kwamba hawajui, au wamekaririswa au wanaponda. Hata Ulaya na Asia na hata America views ni hizi hizi.
Scotty Kilmer, Car wizard channel (youtube), na site ni mfano mzuri wa top mechanics na reviewers wa Ulaya na US ambao huwa wanasema hivi vitu pia. So sio sisi wabongo tu unaotusimanga.
 
Nitoe Link watapeliwe waje kwangu nina List ya watu waliotapeliwa zaidi ya 30 humu JF Wanigeria wameingilia mitandao na huku wamekamatwa mimj sihitaji kufanya nao biashara wanaweza kutafuta mtu yeyote wakaja na wakanunua nachowaambia kuwa hizo gari ni bei ndogo hapa..
SA gari inauzwa kutokana na Model sio kama Japan wanaangalia soko limekaaje kwa magari used hapa used ya 2004 ntanunua labda Truck,Land rover na trekta lakin huko watu wanaagiza kabisa mtandaoni na pia hawajui jinsi ya kuangalia aina gani za magari yenye kodi kubwa na ndogo maana TRA wameangalia yale yanayoagizwa sana hasa Toyota kodi ipo juu hizi zingine kodi zipo chini na pia unatakiwa ununue gari ya mbele kwa bei kubwa ili ulipie kodi kidogo mimi nipo kutoa Elimu ya ununuzi wa magari ili huko kwetu watu watumie magari mazuri kama Zambia ingawaje next year tukiwa wazima ntafungua Yard ya magari Arusha ntauza kwa bei nzuri tu..
Watu wengi humu wamepata magari kupitia mimi wengi sana.
Mwezi huu pekee natoa karibu gari nne kuja nazo huko na zote zina wateja..
 
Mara ya kwanza nilifatilia kuona hao jamaa wanaowatapeli Watanzania waliowekewa bei ndogo za matrekta makubwa wanakamatwaje hapa nilifika office za Interpol hapo Pretoria na kutoa taarifa hapa John Vorster kituo kikubwa cha police hapa wanasema tukio limefanyika Tanzania maana alietuma hela alikua Tanzania na kesi aifungulie huko ili awasiliane na Interpol ndio maana jamaa wanaendelea kuiba tu na hawajifichi huku wakishirikiana na wafanyakazi wa Bank kuzitoa hizo hela haraka pindi wakiwekewa...sasa ninyi endeleeni kutaka kutuma hela kwa mtandao maana walioibiwa ni wengi na wakiibiwa ndio wanakuja mbio Inbox mmoja aliambiwa atume hela ya Bima alipokuja kuniulizia nikamwambia asitume hata hiyo ya kwanza wamekutapeli.sisi tupo hapa baada ya kuuliza kabla mnakuja kuuliza baada ya kuwapa hela wahuni tukiwafundisha mnataka tubishane tena.
 
Mkuu, wewe watu wanaulizaga bei za magari huku husemi. Toa hata link ya VW tiguan (SUV kama Rav 4) ya 2024 ya mil 40-60. Na kama zitakuwepo, ni ngapi? Na vipi maintenance costs mtu aiikaa nayo miaka 5-10?!.
Hata hivyo tumeshajenga hoja sana kwa nini toyota inauzwa ghali. So kwa sababu ya features zake au comfort au safety features, ni reliability na urahisi wa maintenance. Kwa hiyo wanaoamua kununua hizo kwa bei ya juu wamechagua hayo. Huna haja ya kusimanga wengine kila saa kwamba hawajui, au wamekaririswa au wanaponda. Hata Ulaya na Asia na hata America views ni hizi hizi.
Scotty Kilmer, Car wizard channel (youtube), na site ni mfano mzuri wa top mechanics na reviewers wa Ulaya na US ambao huwa wanasema hivi vitu pia. So sio sisi wabongo tu unaotusimanga.
Nenda Zambia harafu uje na haya unayoyaandika hapa mara kwa mara uone wahuni wanavyosukuma gari za maana kwa sababu wao kodi zinalipwa kwa GVM sio kama sisi na kodi zao ni ndogo sana..mimi nanunua gari la miaka ya karibuni kwa bei ndogo sana hapa unakuta mtu Tanzania kama wiki niliyokua huko jamaa ananionyesha kauziwa Jeep kwa 75m la mwaka 2014 aisee hiyo pesa hapa na kodi si anapata gari ya kibabe sana..SA magari sio ishu ukinunua kwa kulipa cash sio kukopa kama wao utayapata sana..
 
Kuna vita kati ya me na ke humu, kwa wanaume ni halali wanastahili mambo yote mazuri isipokuwa wanawake tu
Ontario alishare picha yao huko forex wapo wamechoka balaa wameishiwa matumaini ya maisha!!!
so mtu ukiongea kitu kizuri hasira zao wanakuja kukumalizia utafikiri mimi ndiyo nimewapa maisha mabovu!!

Yaani na hivi nipo tu nyumbani nitaenda nao tu sawa wanipotezee muda uende!
 
Back
Top Bottom