Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Huo ndio uwezo upeo wa mantiki yako kwenye mada hii. Sina uhakika kama kweli unayajua magari kwani inawezekana wewe ni dereva wa landcruiser ya mbunge ambaye huwa anaku-kula wewe kimasihala tu baada ya kazi kwa hiyo hujui magari mengine yoyote duniani.
Baada ya zile argument za kibingwa na kuchambua technical issue tumeahmia huku jaman? Tusiwe na jaziba twende mdogo mdogo
 
Mkuu hakuna kitu unajua kuhusu magari mimi pana jamaa angu anayo hiyo G wagon tunaongozana nae Jtano ijayo kuleta Tanzania tukijaaliwa hapa yamejaa tu wala sio hatari kama unavyodhania...
Haujafikia level ya kubishana na mimi kuhusu magari wapo watu humu wengi sana wanayajua magari vizuri kunizidi hata mimi ila sio wewe kihande kabisa.
Kihande ni aliekuzaa! Wewe kuwa dereva malori usijifanye unaijua g wagon! Pengine hata landcruiser kupanda hujawahi unaropoka kabisa eti jamaa yangu ana g wagon unadhani g wagon maandazi
 
Umasikini ndio unakusumbua mkuu na kuwa na hasira hizo ni stress pambana tu watu wengi humu wanajua nimewaletea magari mazuri na still naleta gari ambazo hautaweza kupanda/ku drive mpaka unaenda motoni...
Kinyesi tu wewe! Kumbe nabishana na dereva magari pole sana hukuosma ndio maana leo hii unaendesha magari ya watu! Gari gani bongo hapa nishindwe kumiliki? Nikutajie address yangu uje upaone ninapoishi?
 
FB_IMG_1723744121697.jpg

Isanga family usibishane na mtu hujui, hii gari ukoo wenu wote hamuwezi kununua mpaka mnaenda kuchomwa moto
 
Ni kweli tuma picha ya nyumba basi maana gari la jirani umetuma hakuna mtu mwenye Wagon akatuma picha JF..
Masikini mna tabu sana..
Mwanaume unajisifu kuendesha gari za wanaume wenzako! Bado unasema kabisa " waulize humu jf nimeendesha gari zao" nakuambia hivi mpaka unakufa hutokanyaga lc yoyote achilia mbali g wagon
 
Mkuu labda hatujaelewana argument yangu ni nini
Mimi sijaishindanisha TLC Vs Jeep....... HAPANA
Mimi nime argue uliposema TLC sio magari mazuri ila yanauzia jina tu(Hapa unakua unamvunjia heshima mjapani)

Mkuu naiheshimu sana JEEP, hiyo ndio nembo ya ubora wa off road za magari ya USA

Kimsingi Land Cruiser ni matokeo ya Jeep
Wakati wa vita ya pili ya Dunia Wajapani walipoanza kupiga na kuteka kambi za USA na washirika wake walikamata na gari za Jeep(Willys MB) za kivita enzi hizo.
Emperor wa japan alipoziona akatoa order gari zipelekwe Toyota watengeneze gari kama hiyo kwa sababu ya uwezo wake mkubwa kuhimili kazi na njia mbovu
Na baada ya vita kwisha Toyota wakaendelea kuzalisha kibiashara hadi tunavyo ziona leo kwa ufanisi mkubwa

So ukiniuliza leo hii kati ya TLC na Jeep Grand Cherokee ipi ni zaidi basi nitachagua Jeep....... lakini hiyo haifanyi kwamba Toyota Land Cruiser ni gari mbovu zinazo uzia jina

Hata ikiwa Messi atakua bora kuliko Ronaldo hakufanyi kuwa Ronaldo ni mchezaji mbaya

Issue ni kwamba umeshindanisha vitu BORA kabisa viwili

BTW ulikua mjadala mzuri sana 🙏
Mkuu usirembe,sema tu ukweli,Lc ni bora kuliko jeep
 
Labda uzungumzie G wagon zile za zamani ambazo ni MT,ila sio hizi zenye staff gear
Hivi umeongea nini yaani Mercedes Benz G wagon ufananishe na Land Cruiser hizi gari mnazozizungumzia mnazijua kweli au mimi sijaelewa Mercedes G wagon ufananishe na LC tena unasema im
 
Back
Top Bottom