hi bado ghali nimeona Ni pauni za Bibi 268,000. Ila haijatofautiana Sana Na renji 2017 ambayo Hadi 86,000 pauni za Bibi.Kwa hela ya kibongo ni kama shilingi ngapi ila Range huwa ni hatari tokea kitambo
Basi tuwaachie kina Mo kwanza ila ni ya maana sana sema dah pesa ya mbele iko poa sana maana laki mbili na kadhaa hata inashawishi kuiwazahi bado ghali nimeona Ni pauni za Bibi 268,000. Ila haijatofautiana Sana Na renji 2017 ambayo Hadi 86,000 pauni za Bibi.
Nadhani kwa madafu iyo Hadi Kodi lazima ifike karibu billion madafu.
za 2018 ? au hata huelewi tofauti ?Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Sasa unabisha au? Nenda pale Land Rover CMC, barabarani zimejaa hizo kama shombo la uduvi feri.za 2018 ? au hata huelewi tofauti ?
Range Rover sio Matoyota V8 weka hilo akilini!..Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Tatizo la hawa range rover yaan hata ya mwaka 2015 na hii tofauti ni ndogo sana so hata mtu akiiona kwa nje hawezi jua ipi ni ipiSasa unabisha au? Nenda pale Land Rover CMC, barabarani zimejaa hizo kama shombo la uduvi feri.
Mkuu hizo body ndio brandmark yao sasa ukisema abadili kibiashara itakua bad kwake mfano tu unajua kua Toyota aliona hauzi sana gari zake kutokana na mtizamo wa Europe na America ikabidi aingie mzigoni buni brand ingine ndio akaja na Lexus ambayo ndio inayouza vile gari expensive na luxurious all kutafuta soko!!..Tatizo la hawa range rover yaan hata ya mwaka 2015 na hii tofauti ni ndogo sana so hata mtu akiiona kwa nje hawezi jua ipi ni ipi
We hujui gari ndio maana unaropoka, range zipo nyingi ila sio hilo toleo la 2018. Taa zake na rim ni tofauti na matoleo ya nyuma pia infotainment system yake ni full touchscreen.Sasa unabisha au? Nenda pale Land Rover CMC, barabarani zimejaa hizo kama shombo la uduvi feri.
Hazijui gari huyo kolo anaropoka tu mandazi kabisa!!!Range Rover sio Matoyota V8 weka hilo akilini!..
Kumbe mshikaji ni koloHazijui gari huyo kolo anaropoka tu mandazi kabisa!!!
Kwani alipotutawala kulikuwa na noma gani?Kwa ulivomsifia mwingereza Upo tayari arudi kukutawala
Atashikwa hata masaburiKwa ulivomsifia mwingereza Upo tayari arudi kukutawala