Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuqa Wanajamvi,
167c1ec0b95a30bf4511b5b634e679bbb31c97d6.jpg


Muingereza mshenzi sana. Hii renji Vogue 2018 ni nouma. Yani nje Na ndani Ni sheeda.
2015_range_rover_hybrid_23_1920x1080.jpg
Desh board Ni touch screen. Yani Muingereza Maamae kwa hili gari namuheshimu Sana. Cheq Hapo chini video Na picha.
rr03.jpg
2018-range-rover-interior.jpg
maxresdefault.jpg
Range-Rover-Sport-hybrid-2018-862279.jpg
 
hi bado ghali nimeona Ni pauni za Bibi 268,000. Ila haijatofautiana Sana Na renji 2017 ambayo Hadi 86,000 pauni za Bibi.

Nadhani kwa madafu iyo Hadi Kodi lazima ifike karibu billion madafu.
Basi tuwaachie kina Mo kwanza ila ni ya maana sana sema dah pesa ya mbele iko poa sana maana laki mbili na kadhaa hata inashawishi kuiwaza
 
Tatizo la hawa range rover yaan hata ya mwaka 2015 na hii tofauti ni ndogo sana so hata mtu akiiona kwa nje hawezi jua ipi ni ipi
Mkuu hizo body ndio brandmark yao sasa ukisema abadili kibiashara itakua bad kwake mfano tu unajua kua Toyota aliona hauzi sana gari zake kutokana na mtizamo wa Europe na America ikabidi aingie mzigoni buni brand ingine ndio akaja na Lexus ambayo ndio inayouza vile gari expensive na luxurious all kutafuta soko!!..
 
Sasa unabisha au? Nenda pale Land Rover CMC, barabarani zimejaa hizo kama shombo la uduvi feri.
We hujui gari ndio maana unaropoka, range zipo nyingi ila sio hilo toleo la 2018. Taa zake na rim ni tofauti na matoleo ya nyuma pia infotainment system yake ni full touchscreen.

Ukumbuke kuwa muundo wa hizo range rover hutofautiana kwa miaka.Mwaka 2013 ndio design mpya ya body ilitoka so range zilizofuata zote zilikuwa na muonekano mpya. Unaweza kuta unaongelea wingi kupitia matoleo ya 2013-2015 maana nyingi ndio zipo affordable hapo.
 
Back
Top Bottom