mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Kwanza nadhani ni land rover discovery and not Range rover discovery.
Range Rover Discovery 5 edition 2017
Hili gari la sasa limetengenezwa kwa bati la aluminium kwa asilimia 85 na ndani lina nafasi ya kutosha, huku likiwa na uzito wa tani 2.1
Kwenye pua yake kuna magnesium na kila sehemu ambayo ni kwa usalama wa abiria basi bati la aluminium limetumika kwa kiasi kikubwa.
Injini.
Ni Cylinder nne kwa injini ya Diesel huku BHP au brake hose power ikiwa ni twin -turbo 237 ingawa unaweza kupata ya V6 kwa Diesel na Petrol.
Gearbox ni 8 speed automatic.
Ndani
Unaweza ukasikia kwa mbali sauti ya muziki hasa mashine ikiwa inachanja mbuga kwenye kasi crusing speed na kelele za madirisha ni kidogo sana.
Viti ni saba vikiwa na mfumo uitwao Intelligent Seat Fold ambapo kwa kubonyeza kioo cha mbele ambapo unaweza kuvifanya vilale au viinuke.
Hili nalo ni gari ya maana.
Lkn Wameharibu Musculine shape ya Discovery big time,I prefer Disco. 4 kuliko hii takataka kabisaa.