Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

2017-Land-Rover-Discovery-SUV-SE-4dr-4x4-Photo-14.png

Range Rover Discovery 5 edition 2017

Hili gari la sasa limetengenezwa kwa bati la aluminium kwa asilimia 85 na ndani lina nafasi ya kutosha, huku likiwa na uzito wa tani 2.1

Kwenye pua yake kuna magnesium na kila sehemu ambayo ni kwa usalama wa abiria basi bati la aluminium limetumika kwa kiasi kikubwa.

Injini.

Ni Cylinder nne kwa injini ya Diesel huku BHP au brake hose power ikiwa ni twin -turbo 237 ingawa unaweza kupata ya V6 kwa Diesel na Petrol.

Gearbox ni 8 speed automatic.

Ndani
Unaweza ukasikia kwa mbali sauti ya muziki hasa mashine ikiwa inachanja mbuga kwenye kasi crusing speed na kelele za madirisha ni kidogo sana.

Viti ni saba vikiwa na mfumo uitwao Intelligent Seat Fold ambapo kwa kubonyeza kioo cha mbele ambapo unaweza kuvifanya vilale au viinuke.
land_rover_discovery_13.jpg


Hili nalo ni gari ya maana.
Kwanza nadhani ni land rover discovery and not Range rover discovery.

Lkn Wameharibu Musculine shape ya Discovery big time,I prefer Disco. 4 kuliko hii takataka kabisaa.
 
Range Rover ndio gari...... naipenda Hii gari tanguuuuuuuuu
 
Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Tofauti ya mtumwa wa sasa na wa zamani ni ndogo sana, kitambo ulifungwa minyororo na kutandikwa mijaredi, ila sahivi umefungwa akili na kusaidiwa kila kitu.

Sasa husipotaka hata kujiongezea kubuni walau utengenezaji wa baiskeli, ukaishia kusindika nyanya chungu, utaendelea kulamba soli za viatu mpaka kizazi chako chote. Endelea kutoona hatari, wakati hata hiyo Simu au Pc unayotumia kukobolea shudu zako humu ni made from somewhere.
 
We hujui gari ndio maana unaropoka, range zipo nyingi ila sio hilo toleo la 2018. Taa zake na rim ni tofauti na matoleo ya nyuma pia infotainment system yake ni full touchscreen.

Ukumbuke kuwa muundo wa hizo range rover hutofautiana kwa miaka.Mwaka 2013 ndio design mpya ya body ilitoka so range zilizofuata zote zilikuwa na muonekano mpya. Unaweza kuta unaongelea wingi kupitia matoleo ya 2013-2015 maana nyingi ndio zipo affordable hapo.
Hiyo technology pia nimeiona kwenye Range rover Velar,hawa jamaa wako vizuri sana,ila nisichokipenda ni kitu kimoja tu,hazina 6 seats karibu zote,kama yalivyo matoleo ya Landrover discovery ambayo yana zile seats za nyuma baada ya milango ya nyuma..
 
Hiyo technology pia nimeiona kwenye Range rover Velar,hawa jamaa wako vizuri sana,ila nisichokipenda ni kitu kimoja tu,hazina 6 seats karibu zote,kama yalivyo matoleo ya Landrover discovery ambayo yana zile seats za nyuma baada ya milango ya nyuma..
Yeah zote ni 5 seater
 
Hili ni kwa ajili ya watu wambele. Barabara zetu si rafiki kwa gari ya aina hii
 
Ulirudi au muda wa kukaa huko ulikwisha. mimi nilikwenda , nilitaka kukaa wakasema urudi kwenu muda wa masomo umeisha. Kuna permanent students anyway!
Haaa haaa haa..eti urudi kwenu[emoji23] [emoji23]
 
Range rover vogue na dada yake Range sport..ni gari nzuri na za heshima. ila haziko friendly kwenye barabara zetu. washikaji wengi zimewaua. Hata marekani hawazihusudu hizo gari. hazitaki suluba na barabara mbovu kama ile ya kwenda chalinze. uki hit bams/hamps na zaidi ya 140 lazima uende chini.
 
Back
Top Bottom